gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,274
- 20,674
orgasm kwa mwanamke ni subject ya mambo mengi sana, lakin pia ili kujua kama umeikia hatua hii basi mwili utasisimka, vinyweleo vitasimama, ukuta wa vagina utacontract na kurelax kwa kasi sana na pia kisimi kitasimama(erect) na utaona ute umezidi kutoka. dalili hizi ndizo dalili kuwa umeshafikia orgasm.
sema sasa mwanawake wengine huwa hawafikii hapa wao huwa wanasikia raha tu lakin wanashindwa kufikia hatua hi ya mwisho na hili ni sababu ya maumbile yao tu nafiri. ila raha kubwa kwa mwanamke ni wakati anaitafuta climax akiwa njia ndipo anapopata raha zaid akishafika basi huwa inamletea kukinai fulan so ni bora zaid yule ambaye anakuwa muda wote anapata raha ila hafiki climax.