Napenda kujua!

orgasm kwa mwanamke ni subject ya mambo mengi sana, lakin pia ili kujua kama umeikia hatua hii basi mwili utasisimka, vinyweleo vitasimama, ukuta wa vagina utacontract na kurelax kwa kasi sana na pia kisimi kitasimama(erect) na utaona ute umezidi kutoka. dalili hizi ndizo dalili kuwa umeshafikia orgasm.

sema sasa mwanawake wengine huwa hawafikii hapa wao huwa wanasikia raha tu lakin wanashindwa kufikia hatua hi ya mwisho na hili ni sababu ya maumbile yao tu nafiri. ila raha kubwa kwa mwanamke ni wakati anaitafuta climax akiwa njia ndipo anapopata raha zaid akishafika basi huwa inamletea kukinai fulan so ni bora zaid yule ambaye anakuwa muda wote anapata raha ila hafiki climax.
 
ni kweli wanawake wengi hawajui pale anapo peez,wanaume wengine nao hawana mautundu ya kumkojolesha mwanamke.kuna mwanadada mmoja alikuwa ajawai kukunwa to an extent ya kukojoa.alipokutana na jamaa mmoja mwenye mautundu ya kumfikisha apex,alipiga yowe la nguvu,at the end of the game akamuabia jamaa kumbe kukojoa utamu wake uko hivi.alikri kwamba jamaa yake hajawai kumfikisha apex.
 
Mautundu tumezidiana ndg,wengi tunajijali wenyewe baada ya hapo manzi anaonekana kero,hata kama hajafikishwa.
 
hadi unauliza hujawahi, uki pees huulizi, unaishia kulalama ama kupiga kelele.

alafu umeolewa, nakushauri usitake kujua, kama kukaa kwako kote

huko hajafaulu usithubutu kutoka nje, utahama mwanawane.
 
dada mwambie mumeo akupige katerero.....(squirting orgasm) lazima upagawe, kuna namna ya kufanya hivyo..take enough time to learn.
 
pole mamie, me nafikir huwa unakojoa bila kujijua. nasema kwa sbb haiwezekan ukaenjoy sex bila kukojoa.wkt unakojoa huwa unahc utamu sana pia joto huwa linapanda. je haya huwa hayakutokei?ama unaenjoy kivipi?(how)?

ni kweli my dear nakojoa bila kujua,ndo maana nilipenda kujua huwa inakuwaje.nashukuru kwa kunijuza.
 
wanaume wingi huwa tuna ubinafsi wa kumaliza wenyewe bila kuwafikiria wenzetu kweli girls wengi hawajawaifika mwisho wengi wanaguswaguswa juu ila siku akifikishwa ndio atagundua kwamba huwa anachezewa juu juu tu
mapenzi yanaitaji maandalizi ya hali ya juu na akili iwe imetulia hasa na sio kukurupuka
 
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaa!!!! tamu eehh????

hadi unauliza hujawahi, uki pees huulizi, unaishia kulalama ama kupiga kelele.

alafu umeolewa, nakushauri usitake kujua, kama kukaa kwako kote

huko hajafaulu usithubutu kutoka nje, utahama mwanawane.
 
Habari za jioni wana jamii?poleni na majukumu...mimi ni mwanamke niliyeolewa nafurahia sana ndoa yangu,na pia na enjoy sana kufanya mapenzi na mume wangu.ila napenda kujua kama mwanamke ana pees?(anakojoa)na kama ndio nini ishara ya kwamba sasa ana pees?

Ili kujua kuwa una-pees utamu utaona unaongezeka sana,kisimi kinasimama,ute uliokuwa unakutoka utaongezeka kuwa mwingi,utahisi kama nywele zinasimama,sometimes unaweza kuhisi kama kuna maji yanatoka kwenye masikio ingawa hayatoki,automatically utajikuta unamn'gan'gania mwenzako kwa nguvu,unaweza ukashtukia umepiga kelele bila ya kutarajia,na kutaka ku-confirm kuwa ume-pees jishike maeneo yako baada ya kumaliza ingawa pia wakati huo hamu ya sex itakuisha kabisa ambapo utaona ute wake ni tofauti kidogo kwa texture,wenyewe ukiushika unavutika na unachelewa kukatika tofauti na ule unaotoka ukiwa umeshikwa na kiu ya mapenzi.I think this somehow can help u understand the female orgasm.
 
hahahahaha watu wamekuja kwa specific mission humu mkuu, wakimaliza wanakula kona, hahah sio wewe umeweka makazi humu milele daima
Yani una post mbili tu na umeisha fikia kwenye kupees....congrats.
 
Back
Top Bottom