Napenda kujua kutoka kwako

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Tanganyika ilipata uhuru wake 9.12. 1961
Zanzibar ikapata uhuru wake January 1964
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar April 1964.....

Kwa uchunguzi wangu wataalamu wa historia wanasema baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibadili jina na kuitwa TANZANIA na hapo jina la Tanganyika kufa.....Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ndio maana unasikia Tanzania bara na Tanzania visiwani......huu muungano ni wa kiamani zaidi kwani nyerere angeamua kutumia nguvu zanzibar ingekuwa mkoa kama mikoa mingine....
 
yaani nchi yenye rais na baraza lake la mawaziri unaiita mkoa..............weye wa wapi yahe?
 
mkuu suala la ZANZIBAR NI NCHI AU SIO NCHI nadhani waliotangulia ndo wanaelewa kila kitu,sisi tutaishia kubishana kaPinda mwenyewe anajiuma uma tu
 
Nauliza hivi kabla ya muungano zanzibar ilikuwa na rais? kama ilikuwa na rais basi znz ni nchi kama nchi nyingine,Hapa ni kwamba nchi mbili znz na tanganyika ziliungana na kuform Tanzania
 
Back
Top Bottom