Kinapatikana wapi hicho kitabu!Aisee ni kweli kabisa.Chakufanya tafuta kitabu kiitwacho the secret terorist utajua mengi
jamani naona bado sijapata majibu. inamaana wakristo hasa waRC hawawezi kunielimisha hilo? Au ndo kusema wengi wanafata wasilolijua?
Hapa inaonekana kuna kitu ndo maana hamuwezi kusema. hapa nasoma kuwa uelewa wa waRC katika isue za bible ni mdogo mno, pia hawawezi kujibu hoja.Kwani elimu kama hii itakusaidia nini? Umeelekezwa ukatafute vitabu usome....au nenda kwa mapadre wapo wengi mtaani tu yanini kusumbua wana JF pasipo ulazima kwa kutaka kujua kitu ambacho kwa maelezo na fikra zako haviendi na wengi wanavyodhania?.
Kwanza mimi siamini kama kwenye kofia ya papa kuna 666. kwanza nipe ushahidi huo(wa picha au video) then tuendelee.Hapa inaonekana kuna kitu ndo maana hamuwezi kusema. hapa nasoma kuwa uelewa wa waRC katika isue za bible ni mdogo mno, pia hawawezi kujibu hoja.
Kuna mtu ana point hapo juu. Mimi ni Mkatoliki, kwetu misale ndo mpango mzima, afu padre dizaini ndo kila kitu. Waumini ni wavivu kusoma biblia, kutwa kucha kutembea ni mirozari vifuani. Kuna kitu hakiko sawa katika ukatoliki, looks like taasisi ya kidunia zaidi kuliko kiimani.
Nakuonea huruma sana, siyo kila mtu anapitia hapa JF; nenda Seminari yoyote iliyokaribu nawe wakakueleweshe km Segerea.
Nakuonea huruma sana, siyo kila mtu anapitia hapa JF; nenda Seminari yoyote iliyokaribu nawe wakakueleweshe km Segerea.
Umenena mkuu, ndio maan watu wanashindwa kutowa majibu ya kile walichokiamini. wengi wao wanakokotwa.Kuna mtu ana point hapo juu. Mimi ni Mkatoliki, kwetu misale ndo mpango mzima, afu padre dizaini ndo kila kitu. Waumini ni wavivu kusoma biblia, kutwa kucha kutembea ni mirozari vifuani. Kuna kitu hakiko sawa katika ukatoliki, looks like taasisi ya kidunia zaidi kuliko kiimani.
hakika nimeona wakristo niwagumu sana kutoa elimu. Ima wengi hawana uelewa juu ya hilo au wanajua lakini ni pigo kwao. Jamani bado sijaelimika. Nisaidieni katika hili