Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,066
🙏🙏Ni wale madreva wanaopeleka magari nchi za jirani kutoka bandarini.
🙏🙏Ni wale madreva wanaopeleka magari nchi za jirani kutoka bandarini.
Ahsante sana nimefanikiwa kufika katika maeneo ya mataa ya chang'ombe jirani na kituo cha mafuta cha oil com lakini madereva waliopo pale wengi hawana lugha nzuri hila nitafika pia apo posta majibu nitakayo pata apo pia nitatoa mrejesho shukran sana [emoji120]
Roho mkoni vipi sasa kwani wanatumia njia tofauti na hizi za kawaida?masaa wanayopewa kufika border husika ni sawa tu, tatizo lao ni kuendesha kwa mwendokasi ili kutumia muda mfupi huko wanakopeleka gari husika na kuweza kubakia japo na pesa kidogo, kwani kwa wastani hupewa kati ya dola 250, kwa safari moja.Nankurudi haraka ili apeleke gari jingine.Sio kazi nzuri hiyo roho mkononi
Mkuu usisahau kunicheki pia napenda sana hizo misheAhsante sana nimefanikiwa kufika katika maeneo ya mataa ya chang'ombe jirani na kituo cha mafuta cha oil com lakini madereva waliopo pale wengi hawana lugha nzuri hila nitafika pia apo posta majibu nitakayo pata apo pia nitatoa mrejesho shukran sana [emoji120]
Dollar 250 per trip ni kazi mbaya kweli? Unless otherwise hujawahi jikuta mikononi mwa mchina ama muhindi wewe.Roho mkoni vipi sasa kwani wanatumia njia tofauti na hizi za kawaida?masaa wanayopewa kufika border husika ni sawa tu, tatizo lao ni kuendesha kwa mwendokasi ili kutumia muda mfupi huko wanakopeleka gari husika na kuweza kubakia japo na pesa kidogo, kwani kwa wastani hupewa kati ya dola 250, kwa safari moja.Nankurudi haraka ili apeleke gari jingine.
Nitashukuru sanaNitakupatia namba ya dada mmoja umuombe akuunganishe na baba yake, anafanya hizo kazi
SawMkuu usisahau kunicheki pia napenda sana hizo mishe
Asante mkuu kwa kujirekebisha[emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu hii dola 250 kwa trip ni kutoa gari bandarini hadi wapi?Roho mkoni vipi sasa kwani wanatumia njia tofauti na hizi za kawaida?masaa wanayopewa kufika border husika ni sawa tu, tatizo lao ni kuendesha kwa mwendokasi ili kutumia muda mfupi huko wanakopeleka gari husika na kuweza kubakia japo na pesa kidogo, kwani kwa wastani hupewa kati ya dola 250, kwa safari moja.Nankurudi haraka ili apeleke gari jingine.
Ilikuwa ni kutoa gari dar, hadi zambia, malawi, Rwanda na Burundi.Mkuu hii dola 250 kwa trip ni kutoa gari bandarini hadi wapi?
Mimi nilimjibu jamaa aliyesema hiyo kazi ni ya hovyo!!ndio nikawa namwambia kweli dola 250, kwa trip moja, ni kazi ya hovyo?!!Dollar 250 per trip ni kazi mbaya kweli? Unless otherwise hujawahi jikuta mikononi mwa mchina ama muhindi wewe.
Kama una connection huko naomba ni link mkuu
Hiyo inakua ni pamoja na mafuta ya safari au mafuta yanajitegemea?Ilikuwa ni kutoa gari dar, hadi zambia, malawi, Rwanda na Burundi.
Hapana hiyo ni posho yako tu, ikijumuisha na nauli yako ya kurudia baada ya kulifikisha gari.Hiyo inakua ni pamoja na mafuta ya safari au mafuta yanajitegemea?
Umeshajijibu kuhusu roho mkononi, nimepanda sana hizo gari madereva wengi wapo rough kwenye mwendokasi.Roho mkoni vipi sasa kwani wanatumia njia tofauti na hizi za kawaida?masaa wanayopewa kufika border husika ni sawa tu, tatizo lao ni kuendesha kwa mwendokasi ili kutumia muda mfupi huko wanakopeleka gari husika na kuweza kubakia japo na pesa kidogo, kwani kwa wastani hupewa kati ya dola 250, kwa safari moja.Nankurudi haraka ili apeleke gari jingine.
Na vipi kwa wale wanoishia mpakani Tunduma au Kyela pekee, malipo yao hiwa kiasi gani?Ilikuwa ni kutoa gari dar, hadi zambia, malawi, Rwanda na Burundi.
Kwa hilo sifahamu ila lazima itakuwa ni chini ya kiwango cha dola 250!!ila makampuni mengi huwa yanapendelea kumtumia dreva mmoja, isipokuwa kwa DRC, ambako kuna visa inahitajika, ndio hupendelea lifikishwe hadi mpakani then mkongoman ndio aingie nalo.Na vipi kwa wale wanoishia mpakani Tunduma au Kyela pekee, malipo yao hiwa kiasi gani?
ShukranHii Kaz inachangamoto sana kwanza sisi kwa sis vjana tunafichiana white ukienda changombe Kila mtu anajifanya Yuko bsy akishajua we n dereva unahtaj Abc kujua unaweza vp Pata network wore watakukataa nlbahatka kukutana na jamaa mmoja apo shel changombe akanpa mwongozo mzma lakn changamoto bado Ipo kwa wenye ofc hakuna mtu atakukabdh gar ya mtu kuipeleka kokote et ksa umemwonyesha lesen kwamba ww n dereva wanahtaj dereva ndio amlete dereva mwenzie ue na mdhamn ue n barua kutoka serekal ya mtaa ue na paspot in case mipakan na ue kwenye chama cha madereva Kiko apo keko kwa nyuma kwenye zile yad pemben ya tamesa kujiunga n 50 maelezo n meng ila sio rahis ndugu yangu skukAtsh tamaa ila endelea kukusanya taarfa utapata kilcho Bora kabsa