Kuteseka Maganga
Member
- Jun 12, 2021
- 61
- 61
Nawasalimu wana JF wote napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya.
Karibu wew ni cdm au ccm!?Nawasalimu wana JF wote napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya.
Karibu sana bwana Maganga.....Nawasalimu wana JF wote napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya.
Karibu sana mkuu! Unatumia kinywaji gani? Kama unagusa gusa gongo, mnazi au denge! Basi karibu huku Usambaani uje tutulize kidogo mawazo.
Karibu sana bwana Maganga.....
ww ni chama gani vile!!!
ukiwa CCM tutakulabua
ukiwa chadema tutakulabua....
ni bora uwe bila chama humu....
Karibu sana. Tunaomba picha yako ukisindwa sana Hata Jinsia yako
Ukaribie sana
Ha haaaaa fb bana.
Umeombwa picha na wewe umejaa?utakuja kujua hujui
Umeombwa picha na wewe umejaa?utakuja kujua hujui