Napenda kufahamu hili....

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi wa kiume? na je huwa wanahisia na hamu ya mambo yetu kama wanawake wengine? Na je hufikishwa kileleni kama wanawake wengine?
 
MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
847
0
kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi wa kiume? Na je huwa wanahisia na hamu ya mambo yetu kama wanawake wengine? Na je hufikishwa kileleni kama wanawake wengine?

wanahisi na ni mahodari sana katika mapenzi
 
Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,195
ha haaaa chipukizi iyo avatar nini tena kiuno kimetenguka au ndo pozi
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,265
1,250
Kuna baadhi ya wanawake ambao huwa na hulka za kiume, mavazi, kampani na vitu vingi afanyavyo ni vya kiume, wengine huwa wababe na wakakamavu kama wanaume, Je wanawake wa aina hii huwa na wapenzi wa kiume? na je huwa wanahisia na hamu ya mambo yetu kama wanawake wengine? Na je hufikishwa kileleni kama wanawake wengine?

habari ya leo ndugu kimbweka......................./ naskia semanya ni bigwa wa kuwakakaaida wanawake wenzake sasa cjui imekaa vp
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
habari ya leo ndugu kimbweka......................./ naskia semanya ni bigwa wa kuwakakaaida wanawake wenzake sasa cjui imekaa vp

Za leo nzuri mkulu, mie nafikiria jinsi ya kumsogelea na kuanza kumtongoza unaweza kunjiwa ngumi ati!
Na ukifika tayari kwa majamboz fimbo yaweza vunjwa
Bado nahitaji kuwajua vizuri
Kuna ka moja kana sura nzuri ila action zote za kiume
nsije kakuta shemale
 
bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,284
1,195
si ndio na mimi anichekesha wallah yaani hua napenda kuiona tuu!!! allah ibarik tusijeitia husda akawa hachezi tena sema mashaallah!!!

mmmmmh mashallah!!!!walah, wewe Nilham si waumwa weye na dabo kupata nafuu!tumwombe allah akuteremshie baraka zake juu yako
 
NILHAM RASHED

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
1,622
0
naumwa lakin kwa maradhi nilionayo sistahili kukaa mpweke each and every time lazim nijipe maliwaza japo ndio hivyo lakini alhamdulillah twatakiwa kushukuru kwa kila tunalolipokea allah ndie mjuzi zaidi,,,ahsante kwa kuniangalia,,,
mmmmmh mashallah!!!!walah, wewe Nilham si waumwa weye na dabo kupata nafuu!tumwombe allah akuteremshie baraka zake juu yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom