t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 6,371
- 14,770
chilubi,
Unaona Sasa!!!
Tangu lini supercharger ime outsmart turbocharger?
Hivi unafahamu vizuri Vgt, umeshawahi kufuatilia ufanisi wake?
Unaweza kweli kulinganisha turbo za Sasa na supercharger?
Supercharger ilikuwa popular miaka ya nyuma kwa kuwa ilikuwa ni challenge kupata turbo blades ambazo zinastahmili exaust temperature ,hasa kwenye engine za petroli ambazo kiuhalisia zinatoa joto Kali Sana kwenye outlet manifold, baadaye wakagundua titanum blades , ndo ukawa mwisho wa supercharger.
Supercharger unayoisifia haikuwa popular kwenye diesel engine kwa kuwa mosi ,turbo illikuwa haiitaji special blades , hi ni kutokana nakuwa diesel engine hazitoi joto Kali kwenye exaust manifold.
Pili supercharger , Kama altenator, ,power steering ,ac compressor , zina tabia ya kuchukua nguvu ,ya engine , kwa hiyo ilkuwa proved beyond doubt kuws kutumia supercharger hakuleti maana Sana.kwa kuwa engine inatumia baadhi ya nguvu ilizozalisha kuendesha supercharger badala ya kutoa full power output.
Mkuu unajua vitu ila uko rough Sana kwenye kuelezea , supercharger, ni Kama air compressor, kweli inakuwa na very rapid response , lakini as rpm raises ,more air is being compressed inakuwa ni mzigo mzito ambao engine inatakiwa Tena iubebe, badala ya kupeleka nguvu zote kwenye drive train , nguvu nyingine zinapelekwa kwenye kuzungusha supercharger! Turbo kwa upande mwingine inaweza kweli isiwe na rapid response, lakini yenye we inatumia free energy from exaust pipe ,