Siyo lazima awe anajiuza.... logic hapa ni kwamba ni mtu wa kawaida ambaye ana sexual desire anakutana na mwingine, wanaingia kwenye mahusiano YA MUDA lakini baada ya hapo kila mmoja anakwenda kivyake. Wanaweza kuitana (ku resume) tena mahusiano inapobidi, lakini kwa mtindo huohuo.Ok kwa hiyo kumbe wanaojiuza wateja wao ni wanaume?
Siyo lazima awe anajiuza.... logic hapa ni kwamba ni mtu wa kawaida ambaye ana sexual desire anakutana na mwingine, wanaingia kwenye mahusiano YA MUDA lakini baada ya hapo kila mmoja anakwenda kivyake. Wanaweza kuitana (ku resume) tena mahusiano inapobidi, lakini kwa mtindo huohuo.
Kiruuuu utakua unamlipa VAT hahahahaha
hivi hapo umetaja FAIDA au kaushuzi fulani hivi.............Napenda aina hii ya mahusiano ambayo ni ya muda na haina masharti (A relationship that has no conditions or contractual requirements), ambapo wapenzi wawili wanakutana kwa muda na kuridhishana nafsi zao. (Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together)
Baadhi ya Faida za mahusiano yasiyo na mkataba
1. Makubaliano ni kulipa, kupata huduma na kusepa
2. Hakuna bla bla na kupotezeana muda
3. Hakuna kupandishana presha, sukari au magonjwa ya moyo kutokana na wivu
4. Hakuna uwajibikaji wa nyumba ndogo
5. Hakuna kupigana mizinga
6. Hakuna risk ya magonjwa ya ngono kwa sababu hakuna kuzoeana na kufikia uamuzi wa kuacha kutumia zana
Mwana JF, kuna faida nyingi ambazo sijazitaja na yeyote anaweza kuongeza. Au kwa wale mnaopinga aina hii ya mahusiano mnasemaje?
Ok kwa hiyo kumbe wanaojiuza wateja wao ni wanaume?
Napenda aina hii ya mahusiano ambayo ni ya muda na haina masharti (A relationship that has no conditions or contractual requirements), ambapo wapenzi wawili wanakutana kwa muda na kuridhishana nafsi zao. (Where two people decide to engage in a sexual relationship that has no ties or expectation with regards to finances, exclusivity or romance. Literally, there are no strings binding the two together)
Baadhi ya Faida za mahusiano yasiyo na mkataba
1. Makubaliano ni kulipa, kupata huduma na kusepa
2. Hakuna bla bla na kupotezeana muda
3. Hakuna kupandishana presha, sukari au magonjwa ya moyo kutokana na wivu
4. Hakuna uwajibikaji wa nyumba ndogo
5. Hakuna kupigana mizinga
6. Hakuna risk ya magonjwa ya ngono kwa sababu hakuna kuzoeana na kufikia uamuzi wa kuacha kutumia zana
Mwana JF, kuna faida nyingi ambazo sijazitaja na yeyote anaweza kuongeza. Au kwa wale mnaopinga aina hii ya mahusiano mnasemaje?
Only 18% tu.....