Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting.
UPDATE January 2022
Shem yenu kashanasa. Ndoa imejibu

View attachment 1588961

kama dole lako ndo hilo basi ni halali huyo binti kunasa
 
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting.
UPDATE January 2022
Shem yenu kashanasa. Ndoa imejibu

View attachment 1588961
Tuliosoma SAME SECONDARY na kula sana totoz za MASANDARE Vidole juu.

Mdau umenikumbusha mbali sana, hapo MASANDARE ni kijiji maalum cha ku-hudumia wa wanafunzi wa SAME SECONDARY.
 
Back
Top Bottom