Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,775
Reaction score
3,842
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato.

Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli.

UPDATE:
Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya kupokea mahari tumefika huku tunatishwa Makande. Disgusting.
UPDATE January 2022
Shem yenu kashanasa. Ndoa imejibu

images (1).jpeg
 

Attachments

  • VID-20200424-WA0020.mp4
    14.9 MB
Uzi kama huu ulifutwa baada ya watu hasa mm kufunguka kuhusu masaibu ya baadhi ya hawa watu,naona umeuleta kivingine ila sitachangia chochote kwa kwa sababu huwa nikisikia au kuona jambo lolote kuhusu hawa watu najisikia vibaya sana kwa niliyotendwa.
 
Weka namba ya mchango wa harusi tuchange. Maana Dada zetu Wapare kuolewa kwa nadra sana. Kila harusi utasikia muolewaji Mchaga why? Mamlaka ziingilie hili suala. Haiwezekani ukitembelea kumbi zote kubwa jijini bi harusi Mchaga.
Kweli. Harusi nyingi jijini mabibi harusi toka Uchagani. Sijajua sababu n nn
 
Back
Top Bottom