Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Napeleka Mahari Missenyi, Kagera!

Hawa mabinti wa kagera kwann watu wa mikoa mingine hawawakubali hususani kwenye swala la ndoa Yan wakisikia unaoa muhaya lazima washtuke kdgo Kuna tatzo gan uko kagera??
Sio kweli Mzee. Wanawake wa kihaya wanaolewa na makabila mengine tofauti na wahaya wenzao. Kiufupi ni ngumu mwanaume mhaya ambaye ameshasafiri huko na huko kurudi kumuoa mhaya mwenzie.
 
Sio kweli Mzee. Wanawake wa kihaya wanaolewa na makabila mengine tofauti na wahaya wenzao. Kiufupi ni ngumu mwanaume mhaya ambaye ameshasafiri huko na huko kurudi kumuoa mhaya mwenzie.
Wew ni muhaya lazima uwatetee dada zako Kama wanaume wa kihaya wenyewe hawaowi kwao wanaenda kuoa mikoa mingine kwnn
 
Back
Top Bottom