CCM ya leo kuna nani anayejua mambo? KAMA wapo basi wamestaafu, na wako CCM tu kwa sababu ya pensheni zao kama kina WARIOBA na SALIMU. Lakini tofauti na hapo ni genge la wezi, wanyang'anyi, wauza unga siyo sembe na matapeli pia wamo. KUTHIBITISHA hili, angalia hata RAIS anakosa watu wa kuwateuwa kuwa mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge zaidi ya 200 wa CCM, KWANI NI GENGE TU hakuna mtu wa maana. RAIS anahaingaika kutafuta watu, na anawapa leo kadi ya CCM, kesho asubuhi anawateuwa kuwa WABUNGE, JIONI anawafanya mawaziri: angekuwa na watu wa maana CCM asingefanya hivyo.
CCM imejaa mapanki ya DARWIN'S NIGHTMARE