Mkuu hii ndiyo problem ya kuwa na wanasiasa uchwara wanaofuata upepo. Kimsingi wote ni humo humo kwa kuanza na Nape siasa ndiyo kazi kwake hana pa kushika zaidi ya hapo. Siasa ikimtupa leo sijui atajiweka wapi na hii ni kwa wale wote vijana waliotupa proffession zao bila kuzitumia hata chembe kujipatia uzoefu, kwa mazingira hayo kununuliwa kutumwa na kufanywa kipaza sauti cha wajanja ni lazima. Tena sifa nyingine kubwa kwa wote ni kusema bila kutafakari, wanadhani kwa kusema fulani ni fisadi ni swala la mchezo. Wanakopa agenda na kuzileta kwa wananchi kishabiki shabiki tu utadhani ni wakati wa kusutana.Kijani ooooooooooooooooooooooooooooooovyo kweli kweli manake hizo zote zishakuwa sera za uma na kijiko na si jeeeeeee.........na nyu...............