kweli hii thread imemzalilisha sana Mnyika, Mnyika labda umlinganishe na yeye kwenda kunyang'anya majimbo ya mawaziri wa JK popote atakapoenda atachukua jimbo.
Nape ni jina la Baba ndilo lililomvuta pale alipo, lakini hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi. Maneno ya Nape yanapingana na level ya elimu yake. Hao vijana (Nape na Mwigulu) wanaidhalilisha elimu ya Tanzania. Kwa maana hiyo, nape hawezi shinda tena nafasi yeyote ya kuchaguliwa ndani ya ccm kama Mzee Makamba alivyosema " Nape amelaaniwa duniani na mbinguni"