GE2025 Nape: Utu wa Rais Samia ndiyo nguzo ya amani ya Taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake uliojengwa katika misingi ya utu, usikivu na maridhiano.

Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mtama wataka Waufungaji Wa kampeni wa Jimbo Hilo Nape amesema Rais Samia ameonesha mfano wa kipekee wa uongozi unaosikiliza wananchi na kuongoza kwa busara, hali iliyowezesha Tanzania kubaki katika amani, utulivu na mshikamano wa kitaifa.

“Utu wa Mama Samia ndio nguzo ya amani ya Taifa letu. Amejenga Tanzania yenye maridhiano, yenye kusikilizana na kuheshimiana,” amesema Nape.

Ameongeza kuwa, chini ya uongozi wa Rais Samia, Watanzania wameendelea kuona maendeleo yakisukumwa kwa kasi huku umoja na upendo vikipewa kipaumbele kuliko migawanyiko na misuguano ya kisiasa.

Mama Samia amethibitisha kwamba uongozi bora ni ule unaojengwa juu ya utu, si nguvu. Anaongoza kwa hekima, huruma na kusikiliza na matokeo yake ni Taifa lenye utulivu na matumaini mapya,” amehitimisha Nape.
 
Huyu naye ku";!#$(_)(?;¢€=¥•√×÷•÷zake
 
Back
Top Bottom