nadhani anakishangaa chama kukumbatia na kugharamia siasa chafu za uchochezi na dhulma za mwnglu. hata sii nape pekee, mwnglu hana wafuasi wengi ccm. Pia anatafakari lipi alilokosea coz alitangaza nia nzuri ya kusafisha chma kwa kuondoa mafisadi na hakupewa sapoti ila mwngulu ktk siasa zake zinazoua chama anapata ufadhili...ni wakati wa kujaribu kuipa uhai CCJ.