Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,125
Akiongea katika mkutano wa ccm arusha katibu mkuu wa ccm alitamka haya.nanukuu.
Katika miaka ya hivi karibuni ccm ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanyawatanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani.
Sasa wewe nape kusema dr slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na ccm ni upi.
Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua;
chadema iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za wakada wa chadema.je kuna uongo kama huo,hao makada kuanzia lini na walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
Siku zote hata katika post yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado kabisa.Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.
Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
ni kweli kabisa huyu jamaa hayuko logical anapayukapayuka tu hata watoto wadogo huku wanamshangaa,nadhani hapa jamvini tusipoteze muda kumjadili jamani! anajifanya kupambana na dr.lakini hamuwezi kabisa size ya nape ni viongozi wa shina/mtaa wa Cdm.Siku zote hata katika post
yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au
mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni
hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na
kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado
kabisa.
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.
Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?
Le Mutuz!
Acha kujibu kisiasa weweeeeee,Nyie wenyewe ni Oil chafu na kama mmekumbuka kuiacha kupokea mliyonayo ni nyingi zaidi na hamna hata ubavu wa kujitoa.Nyie ndo mnaotuangusha watanzania kwa kuficha uhalisia halafu mnajifanya mna uchungu na nchi kwa maneno.- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?
Le Mutuz!
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.
Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?
Le Mutuz!
Hata umri unamruhusu huyo dogo,ni vema akarudi shule tu!Siku zote hata katika post yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado kabisa.
hivi kwenye mahitajio ya msingi ya binadamu,hitajio la kwanza ni nini?AnaTETEA mlo mkuu.Msamehe bure!