Nape soma maneno ya katibu wako kabla ya kuropoka.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,881
1,124
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.

Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
 
Loh!! akili yako ndipo ilipoishia? Ziro kweli. Hang'over ya kuinua vidole juu....nyambafu toa uharo wako hapa...

Akiongea katika mkutano wa ccm arusha katibu mkuu wa ccm alitamka haya.nanukuu.
Katika miaka ya hivi karibuni ccm ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanyawatanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani.

Sasa wewe nape kusema dr slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na ccm ni upi.

Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua;
chadema iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za wakada wa chadema.je kuna uongo kama huo,hao makada kuanzia lini na walishafukuzwa.

Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
 
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.

Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
Siku zote hata katika post yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado kabisa.
 
Siku zote hata katika post
yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au
mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni
hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na
kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado
kabisa.
ni kweli kabisa huyu jamaa hayuko logical anapayukapayuka tu hata watoto wadogo huku wanamshangaa,nadhani hapa jamvini tusipoteze muda kumjadili jamani! anajifanya kupambana na dr.lakini hamuwezi kabisa size ya nape ni viongozi wa shina/mtaa wa Cdm.
 
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.

Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.

- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!
 
Nilishakwambia nipe matokeo ya urais kwa wagombea wote ya jimbo la Msalala! Ukishindwa uliza mliibaje ibaje. Mi ni eye witness wa wizi huo. Mheshimuni Slaa kwa kukubali yaishe
 
Nape again! Sidhani kama anafaa kujadiliwa seriously kwakuwa kaajiriwa kuongea hayo anayoyaongea. Kama angekuwa anafanya ndivyo sivyo angekuwa alishawajibishwa siku nyingi. Mara nyingi sana anapingana kauli na mabosi wake, lakini upepo unaachwa upite tu. So, yuko kazini ili apate mkate wake wa kila siku. Asamehewe.
 
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!
Acha kujibu kisiasa weweeeeee,Nyie wenyewe ni Oil chafu na kama mmekumbuka kuiacha kupokea mliyonayo ni nyingi zaidi na hamna hata ubavu wa kujitoa.Nyie ndo mnaotuangusha watanzania kwa kuficha uhalisia halafu mnajifanya mna uchungu na nchi kwa maneno.
 
Nepi NNeuye, Vuvuzela, Hili jama bana halioni hata aibu, lilizunguka weeeeeeeeeeeee karibia nchi nzima likiubiri kuvua GAMBA! matokeo yake ubavu ukawa mdogo kuliko, mwisho akatokomea kusikojulikana na falsafa yake ya kujivua gamba na aliowashutumu yuko nao majukwaani. Sasa huyu jamaa unafikiri akili yake ipo sawa? sasa hivi ye ni tiara inoyosukumwa na upepo ili ipae. AENDE HUKO!!!!!!!!!!!!!1
 
Kuhama na kuhamia ni desturi iliyokuwepo toka awali,nasio kitu ambacho mtu anaona ushujaa kuwaitwa watu oil chafu.Kwa mfano Dr.Tlaa (slaa) msiomfahamu kwa jina vizuri.alikuwa ccm je utamwita oil chafu?
 
Hawana lolote hawa wameshindwa kucheza wimbo wao wa MAGAMBA wameleta single nyingine ya kuitana "NDUGU" na si "MHESHIMIWA" lets wait and see!
"Heri kipofu mwenye fikra za mbali kuliko mtu mwenye macho asiyeweza kuona mbali"

Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.

Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.
 
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!

Kaka Le Mutuz,yule demu wako Bupe wa Leominster MA uliyemrithi Rupia aka mchinja mbuzi ulimwachia nani kaka.
 
Siku zote hata katika post yangu ya majuzi niliuliza swali hili; Nape ni mtunzi wa single au mwitikia kolasi? Kwa wale ambao hawakunielewa lengo langu lilikuwa ni hili la yeye kukurupuka na kudandia kila linalosemwa na Dr. Slaa na kulifanya kwake kuwa hoja ya kisiasa. Arudi shule kwa nafasi yake bado kabisa.
Hata umri unamruhusu huyo dogo,ni vema akarudi shule tu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom