Nape soma maneno ya katibu wako kabla ya kuropoka.

- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!

The point is: hivi CHADEMA ni ajenda ya kudumu ya CCM?Hivi CCM hawana mambo mengine ya kuwaambia wananchi zaidi ya habari za CHADEMA? ni hilo tu! any way hongera kwa kupata ujumbe wa jumuiya ya wazazi
 
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!

huyu jamaa simwelewi point zake. watu wanajadili kingine yeye analeta mengine ya udiwani. kweli nimeamini kuwa na kichwa kikubwa sio kuwa na akili nyingi
 
Hata Bupe ni mzazi wa watoto wawili.Wa kiume mkubwa na wa kike mdogo.So ilikuwa good date

Hawa wa Bupe ni wa kwake na anawalea mwenyewe ila huyu Mwenzetu na Mzazi wa watoto wa wengine, hata sifahamu kama wapo (hao watoto)
 
Hawa wa Bupe ni wa kwake na anawalea mwenyewe ila huyu Mwenzetu na Mzazi wa watoto wa wengine, hata sifahamu kama wapo (hao watoto)

Ni kweli Bupe anawalea mwenyewe na si kwamba wale watoto ni wa Le Mutuz.Le Mutuz alianza ku date na Bupe baada ya Rupia kukimbia kesi yake ya kuchinja.Yaani Le Mutuz apate mtoto si itakuwa ajabu jogoo kutaga mayai na kuyalalia hadi atage
 
Mlo ni moja ya mahitaji ya msingi lkn lisitimzwe kwa njia haram kama kupotosha.
mimi nawashangaa sana watu wanaosema eti Nape anatafuta ugali! yaani wanamaanisha kwamba nape bado yuko katika hali ya chini kabisa yakupata mahitaji yake kwa sababu hitajio la msingi kabisa la binadamu ni ugali na mengine ndo yanafuata.sasa sijui wanataka Nape wa watu asipate hata kaugali! wanadamu bwana!maskini Nape!
 
Nape amshukuru Kikwete,mzee Makamba aliisha andaa barua ya kumfukuza CCM kuwa hana adabu kwa wazee
 
- CCM tuliacha siku nyingi kupokea oil chafu na Chadema mkaiga, kabla Kinana hajawa Katibu CCM tumewapiga kwenye Urais, Ubunge na majuzi kwenye Udiwani, I mean pmaoja na kwamba mjadala wenyewe ni very low, lakini naomba kukuuliza exactly what is your point here?

Le Mutuz!
mzee wiliam hoja yangu hapa ni kuwa kila anaposimama majukwaani dr slaa toka atoe ile orodha ya mafisadi pale mwembe yanga nape anamshambulia kuwa ni muongo,akasema elimu inaweza kuwa bure kuanzia msingi mkasema ni mropokaji.
akasema atapunguza bei ya saruji na mabati mkasema ni mwendawazimu.
akaserma ccm haina mvuto mkasema mmetoka wanachama mil 4 mpaka sasa mna mil 6 sasa kama umesikia maneno ya kikwete,kinena na lowasa utaelewa hoja yangu na uropokaji wa nape hapa.
 
Akiongea katika mkutano wa CCM Arusha katibu mkuu wa CCM alitamka haya. nanukuu.
''Katika miaka ya hivi karibuni CCM ilikuwa imepoteza mwelekeo hali iliyowafanya watanzania kukata tamaa na viongozi wao na wengine kujiunga upinzani''.

Sasa wewe Nape kusema Dr. Slaa ni mwongo na kuchonganisha watu na CCM ni upi? Angalieni uongo wenu na waandishi mliowanunua.CHADEMA iliwafukuza madiwani wao uanachama hivyo moja kwa moja wakaukosa udiwani na walipoenda mahakamani wakaangukia pua leo mnatangazia uma mmepokea kadi za makada wa CHADEMA. je kuna uongo kama huo, hao makada kuanzia lini wakati walishafukuzwa.
Hao si zaidi ya oil chafu uliyokuwa unaizungumzia.

Usitupotezee muda nguvu zetu kuwajadili watu wasiokuwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom