Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 226
ama kweli kijana umelevywa na u-ccm
nilijiuliza apa juzi ivi ile kauli ya "siku 90" mbona kimya?tena mlivyo waoga hata maija mnaogopa kuyataja what a shameful tanzanian?na unajiita mtetezi wa wanyonge?ccm imeshindwa kuwashughulikia mafisadi sugu na wezi wa mali za umma siku zote izo!adi leo miaka 50 na mnasema mmetutoa mbali?ya wapi iyo mbali na tuonyeshe unafuu wa maisha ambayo mtanzania wa kawaida anayo seriously-ili japo kidogo tukubaliane nawe....ungekua kijana makini angalau tujivunie wachache mliopo ccm wenye uchungu wa nchi ungeanika apa kesi nzito zilizohujumu maisha yetu na rasilimali zetu na zimefikia wapi kushughulikiwa ningekuelewa.Unapokuja apa na kujitetea na hao wezi wenu unazidi kujishusha na unatuboa sana.
kijana usitufanye watoto hapa. (eti "WAHUSIKA" my foot)
mna siasa chafu sana na kebehi na majivuno mazito sana,na mmejisahau kama sie raia ndio tunawalipa na mnatakiwa kukutumikia.uvccm ni tawi lililojaa kuwekana na watoto wa watawala ndio wanataka kushika usukani why???(wachache ccm walio na uchungu wa nchi)