Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,765
Tumia kichwa kujibu au kuchangia usitumie kile kiungo kingine unatia aibu kwani mbowe alishawahi kuwa na hoja lini zaidi ya kelele na matusi.
Naunga mkono hoja. Mh. Mbowe ajiuzulu haraka sana.
Unajua elimu ya mbowe wewe na unakumbuka kuwa mbowe alipata zero kidato cha sita na hana elimu nyingine sasa kawazidi elimu gani.Mh.MBOWE alishawahi tamka kuwa nape,mwigulu hawezi jibizana nao kwa kuwa Mh.MBOWE amewazidi matahira kwa kila kitu umri,pesa,vyeo,elimu ya vitendo sio vyeti vya kununua india,kisiasa kumbuka bila ya baba yake mbowe huenda nyerere asingekwenda uk kwa malkia kuomba uhuru!
Lakini siku anaondoka mbowe madarakani labda cdm ife kwamba kile chama ni chake hakuna mtu wa kumwambia kitu ndani na nje ya chadema ,jamani cdm ni ya mbowe.
mbona jk hajiuzulu? Hata nape mwenyewe kwa nini hasijiuzulu?Naunga mkono hoja. Mh. Mbowe ajiuzulu haraka sana.
kama ccm ilivyo ya mafisadi!Lakini siku anaondoka mbowe madarakani labda cdm ife kwamba kile chama ni chake hakuna mtu wa kumwambia kitu ndani na nje ya chadema ,jamani cdm ni ya mbowe.