Nape:Rostam alikuwa kama muuza duka tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape:Rostam alikuwa kama muuza duka tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Feedback, Jul 17, 2011.

 1. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nape amesema kwamba kilichotokea mpaka chama kikapoteza mwelekeo ni sawa na wauza duka waliotumwa ambao waliamua kujipangia bei zao wao wenyewe.

  “Tuliona wauza duka waliotumwa na mwenye mali wanaanza kujipangia bei zao na kusababisha wateja kuanza kulikimbia duka watu wanageuka miungu watu lazima tuwawajibishe na tumeanzia ndani ya chama” alisema.

  Kauli ya Nape inaonekana kumjibu aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz ambaye katika hotuba yake ya kujiuzulu nyadhifa zake katika CCM aliwashambulia Nape na Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara John Chiligati na kusema wamepotosha dhana ya kujivua gamba na kuanza kuwasakama wanachama watatu tu wa CCM akiwamo yeye kwa tuhuma za ufisadi.

  Haya sasa King Maker na Money maker wamekuwa wauza duka Nape hajui kwamba Rostam ndiye alikuwa bwana fedha na bado anaendelea na wadhifa wake.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Acha aropoke maana sisi tumeshamzoea, hana jipya, si wamebaki wale mapacha wawili waukweli, wagumu kinoma, na wamewasikia wale jamaa walivyokuwa wakitamba, si ajabu walimtanguliza Rostam ili wajue wa upande wa pili watasemaje na wameshaona kuwa wakifanya kama mwenzao alivyofanya kutatokea nini, na tusitegemee tena kati ya hawa mapacha nao kujivua gamba labda kwa jitihada za wananchi au kwa kudula mwenyezi mungu
   
 3. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ....and he was quoted..."kama haya tunayoyasema ni ya kwetu, na hatukutumwa na chama mbona sasa wamaenza kuondoka wenyewe....."!
  and the ball goes.....
   
 4. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  mipasho
   
 5. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  wanalo la kina lowassa na chenge tunajua always watz wenye asili ya asia ni waoga, so maybe JK aliwapiga biti huyu muiran kakimbia sasa wanao hao wawili mmasai/mmeru na mnyantunzu tuone sasa! Hawa hawang'oki ng'o na ndio watamponza Nape. Nape kumbuka ulimi uliponza kichwa haya bana shauri yako
   
 6. k

  kakolo Senior Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwa maoni yangu labda hiyo option ya pili "kudra za Mungu" maana hao wawili hata mkuu Wa kaya hana ubavu.
   
Loading...