Manifesto ni contract, ni social contract. Inaweza kuwa si legally binding contract (that is also debatable, in a lawsuit society kama US unaweza kupigwa lawsuit kwa kutotimiza election promise) lakini ni contract.
So far issue si whether hii ni "legally binding contract" or not, ni whether it is a contract or not.
Yaani Nape anajionyesha alivyo low tu.
Si kweli,manifesto siyo legally contract,kwanza inabidi pia uni convince howa manifesto is a contract to begin with.....
Contract Law
What are the key elements of a binding contract?
Competent Parties - For a contract to be valid, each side must have the capacity to enter into it. Most people and companies have sufficient legal competency. A drugged or mentally-impaired person has impaired capacity and chances are a court may not hold that person to the contract. Minors (e.g., usually those under eighteen) cannot, generally, enter into a binding contract without parental consent, unless it is for the necessities of life, such as food, clothing, or for student loan contracts.
Consideration - If the other side is to be held to the contract, you must give up something in exchange. This is called consideration. No side can have a free way out or the ability to obtain something of value without providing something in exchange. Money is the most common form of compensation, but it can also be property, giving up a right or valid claim, making a promise to do or not to do something, or anything of value. Agreeing to perform an illegal or illicit act is not consideration and the contract is void.
Unapozungumzia contacts especially btn mwananchi na mgombea, means that each side must be clear as to the essential details, rights, and obligations of the contract. Putting the deal down on paper prior to signing it goes A LONG way to avoid future misunderstandings and disputes.....Je wananchi wanaelewa hilo?
NB:Ni kweli hata kina Karl Peters walikuwa na "Contracts" btn our leaders....Contracts ambazo walizi enforce legally.
Kuna grey area ambayo inaleta upumbazaji wa wananchi kuhusiana na vinavyoitwa mkataba kati ya wananchi na wagombea uongozi ama viongozi,na ndio maana Taifa letu kwa sehemu kubwa ni lawless.
Hakuna mtu kwenye mawazo ya mwananchi wa kawaida hata hivyo ambaye anaamini eti kuna mkataba wa kisiasa kati ya wananchi na viongozi ambao ni legally binding,then wanaota kwasababu ya the so called contract,legality yake ni kwenye ballot box ambayo hata hivyo matokeao yake ni ni mostly riggerd.
Wote wawili hawawezi kwenda Bungeni kwani wanatarajia kugombea jimbo moja la Ubungo kama watateuliwa na vyama vyao. Kilichoonekana siku ile ilikuwa ni kama debate kati yao wawili ili tuone nani zaidi. Nape alionekana "mjinga" kidogo kwa kupinga kila alilolisema Mnyika.Wakati huu nampa benefit Nape kwa sababu tunachokisoma sijui kama ndicho hasa alichokisema au alichomaanisha. Kwa sababu anaweza kuwa technically right kama anashikilia maana ya Mkataba wenye nguvu ya kisheria (legally binding contract). Lakini kwa maana ya makubaliano yenye ridhaa ya kutekeleza mapatano ya pande mbili atakuwa amekosea kutokukubali kuwa uchaguzi ni mkataba.
Tusimhukumu kwa ukali kwa sababu ninachokiona ni jaribio la kuwagonganisha vijana hawa wawili waumizane mapema. Binafsi ningependa sana wote wawili waende Bungeni na wasiangushane kwa sababu ya neno "is".
Very true.
Kipindi kile kimsingi ni kizuri sana, shida inakuja hapo kwenye kiswanglish kinachotumika, bila hata sababu ya msingi,huku mada zote zinazojadiliwa zikiwa ni za kuhusu watanzania wote!
Matokeo yake, kuna points muhimu sana zinakosekana kutokana na baadhi ya watu kutoalikwa kwa na sababu ya kutokuwa fluent na kiingereza!
Badilisheni kipindi chenu kiwe cha kiswahili bana!
Wote wawili hawawezi kwenda Bungeni kwani wanatarajia kugombea jimbo moja la Ubungo kama watateuliwa na vyama vyao. Kilichoonekana siku ile ilikuwa ni kama debate kati yao wawili ili tuone nani zaidi. Nape alionekana "mjinga" kidogo kwa kupinga kila alilolisema Mnyika.
Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.

Jmushi1 said:Nakubaliana na wewe,lakini akija hapa na kusema alimaanisha "Legally binding contract" Then ana point.
Katika sheria, kuna kitu kinaitwa "the letter of the law" halafu kuna kitu kingine kinaitwa "the spirit of the law"
Mwanasiasa atakayekuja hapa na kuniambia kwamba election si legally binding contract atakuwa legally right kwa maana ya kwamba yuko sawa katika legalese.
Lakini ukija katika bigger picture, maswala ya leadership na accountability, maswala ya integrity, hii kauli, hata kama anazungumzia "the letter of the law" instead of "the spirit of the law" itakuwa ni political suicide.
Kuna law na justice, na justice si lazima itiririke kutoka katika law. Naamini hawakwenda kwenye TV kudiscuss academic abstracts, wameenda kujinadi kuhusu matatizo ya wananchi.
Sasa kama mwanasiasa katika kujinadi ananiambia kwamba hatakuwa accountable (basically) then to me that is commiting political suicide right there.
Nilisema....
Ukajibu?
Ulichosema hapo juu kwenye highlight ni sawa kabisa na nlichopost,kwa hiyo unapingana katika kukubaliana na mimi ama ni mambo ya kiitikadi?
Do you get my point?
Unasoma selectively, ukisoma maneno yangu yote utaona kuwa mwanasiasa ku hint, ku hint tu, kwamba hana contract na wananchi, regardless kama ni legally binding, social au gentleman's agreement/ good faith contract, ni political suicide, maana anaonyesha kutokubali kwamba yuko responsible na accountable.
Sasa ndugu yenu naona ndiyo anataka kujivua nguo zaidi kwa kuruka majivu na kukanyaga moto.
Anatoka kwenye contract anaenda kwenye itikadi. Bila itikadi hamna siasa, kuna bora liende. Labda atueleze anamaanisha nini kwa kusema itikadi, I sense a lack of articulation here. Further exposing what I pointed out earlier.
.............................................
Earlier in the program Nape had maintained that in politics, achievements of politicians can not be measured since there are no contracts made. He further called for review of the existing systems to ensure that contracts are made between the politicians and the people...................
Wakati huu nampa benefit Nape kwa sababu tunachokisoma sijui kama ndicho hasa alichokisema au alichomaanisha. Kwa sababu anaweza kuwa technically right kama anashikilia maana ya Mkataba wenye nguvu ya kisheria (legally binding contract). Lakini kwa maana ya makubaliano yenye ridhaa ya kutekeleza mapatano ya pande mbili atakuwa amekosea kutokukubali kuwa uchaguzi ni mkataba.
Tusimhukumu kwa ukali kwa sababu ninachokiona ni jaribio la kuwagonganisha vijana hawa wawili waumizane mapema. Binafsi ningependa sana wote wawili waende Bungeni na wasiangushane kwa sababu ya neno "is".
Nawashukuru sana wakuu kwa mawazo,ushauri na madongo. Nashauri ambaye hana hakika na anachokisema akifikiri mara mbili,tuweke ushabiki pembeni tuzungumze mambo yatakayotutoa tulipo tuende mbele zaidi.
Bilashaka kwa mujibu wa mijadala ya wengi hapa,wengi hawakufanikiwa kuona kipindi kile. Hakika kama Mnyika atakuwa tayari anaweza kuingia hapa kuniunga mkono kuwa TULIJITAHIDI KUWEKA ITIKADI ZETU PEMBENI,TUKAJADILI MAMBO/CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA KITANZANIA KWA UJUMLA BILA KUJALI ITIKADI ZAO.Tofauti na wengi wanavyo ROPOKA hapa. Hata Mzee simbeye mwishoni alitushukuru kwa kuweka itikadi pembeni.
Nimimi niliyesema ni lazima vijana watoke nje ya boxies za itikadi, na mimi naamini itikadi ZINAWAGAWA VIJANA BADALA YA KUTULETA PAMOJA.
Lakini hili swala la mkataba kati ya wapiga kura na wanasiasa hapa linapotoshwa sana. Nawaahidi jioni kwa saa za hapa kwetu Tanzania nitaingia kulieleza hili. nategemea maswali mengi kuyajibu kwasasa naenda class.
Laiti kama watendaji wengine ndani ya ccm wangekuwa kama Nape tungekuwa mbali sana na wala kusingekuwa na mipasuko ya ajabuajabu maana mipasuko na utendaji mbaya unasababishwa na roho mbaya na wivu pamoja na ubaguzi lakini Nape kaweka itikadi pembeni na kuwachukulia vijana wenzake kama kitukimoja thats good,
NAPE HUKO VYEMA BWANAMDOGO ENDELEA.