Nape Nnauye: No longer at ease

Nape Nnauye: No longer at ease

Karibu kwa lowasa nape ccm imeishiwa pumzi matokeo ya goli la mkono refa kauwawa
 
Nape kapigana sana uchaguzi uliopita ila hayo ndio malipo yake.

Mungu ibariki Tanzania.
 
If you act crazy.... unang'atuka tu. .. kabla haujatumbuliwa
 
Huo ndio ujumbe katika account ya twitter ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ni mstari mmoja tu unaosomeka:

"No longer at ease!"

Huyu mh.ni bora afanye maamuzi magumu sasa kabla wengine hawafanya maamuzi magumu hapo baadae.


Tayari wenzie wameshafanya maamuzi magumu.
 
Sasa wataisoma nambaaa..
naona wanaisoma wenyewe..
 
Back
Top Bottom