Nape Nnauye: No longer at ease

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,912
Huo ndio ujumbe katika account ya twitter ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ni mstari mmoja tu unaosomeka:

"No longer at ease!"

Huyu mh.ni bora afanye maamuzi magumu sasa kabla wengine hawafanya maamuzi magumu hapo baadae.
 
Nani ana ile katuni ya kipanya?
1490160042131.jpg
 
Huo ndio ujumbe katika account ya twitter ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ni mstari mmoja tu unaosomeka:

"No longer at ease!"

Huyu mh.ni bora afanye maamuzi magumu sasa kabla wengine hawafanya maamuzi magumu hapo baadae.

Mod 2 Mhariri Paw naomba mrekebishe heading isome "at ease" na sio "at easy".
'The guilty are always affraid' hapaswi kuogopa kama hana kosa !
 
Mhm anaacha mwizi anatolewa mwingine aya tusubiri 2020 tuu.... Ur vote will speak.. Ni Tanzania pekee mwanasiasa anakuwa juu ya wananchi anaposhinda
 
Huo ndio ujumbe katika account ya twitter ya Waziri Nape Moses Nnauye.

Ni mstari mmoja tu unaosomeka:

"No longer at ease!"

Huyu mh.ni bora afanye maamuzi magumu sasa kabla wengine hawafanya maamuzi magumu hapo baadae.

YOTE HAYO YALITEGEMEWA. ADA YA MJA HUNENA MUUNGWANA NI KITENDO
 
Back
Top Bottom