Nape Nnauye na urithi (legacy) CCM.

Nape Nnauye na urithi (legacy) CCM.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Kila kiongozi ana staili yake ya kuvutia hadhara waweze kumsikiliza pale anapokuwa anaongea nao.
1. Kikwete yeye huwa anakenua meno kuonyesha ulimbwende wake katika categoty ya ku-smile. Pia huwa anajifanya ni mkali wa wale viongozi wazembe au fisadiz (in background, anarudi kuwakenulia meno).

2. Makamba Sr. yeye alikuwa anawavutia watu kwa kutumia vifungu ya biblia na koran kwa wakati mmoja, na wakati mwingine aidha alitoa jokes au yeye mwenyewe kuwa jokes.

3. Sasa kaja kijana Nape Nnauye. Ameamua kubeba jukumu la kutetea familia ya fisadi aidha kwa makusudi au kwa kutotambua kuwa Mwenyekiti wake (Taifa) pamoja na familia yake ni fisadiz. Na yeye kaja na staili yake kuwavutia hadhara lakini sina hakika kama inasaidia au la.
Wadau nyie mnafikiria nini kuhusu legacy yake kama inavyoonekana katika hizi picha hapa chini?

160030_orig.jpg

DSC04369.jpg

13.JPG

15.JPG
 
mBONA WENGI TUU WAPO HUKO KOMBA NA YULE MAMA WA TAARABU NA VICK KAMATA CCM WOOTE NIWASANII PLUS JM
 
unafahamu sawasawa mojawapo ya hobi za baba yake mzee nnauye? like father like son...ni kibailojia zaidi
......mix with yours.....
 
Kikundi cha wasanii kikiwa kazini kutuzuga wadanganyika.
 
sukari bei juu,mafuta ya kula hayashikiki,petrol mi sisemi maisha magumu halafu jitu zima linacheza kushangilia maisha magumu!!!nahitaji calculator kutafuta kiasi cha akili za mijitu kama hii!!!
 
Nape lazima acheze sana huko Singida ndio mama yake alikokutana na marehemu baba yake [ Mzee wa maadili] Moses Mnauye!! Baba yake alikuwa mwanamuziki mahili na akipiga kinanda barabara kwahiyo mwanae kupiga gita iko kwenye damu yao!!
 
mBONA WENGI TUU WAPO HUKO KOMBA NA YULE MAMA WA TAARABU NA VICK KAMATA CCM WOOTE NIWASANII PLUS JM

Kaamua kuongezeka kwenye kundi la wasanii, ana perform kiduku jukwaani.
 
kumbe anazungumziwa nape soory ntarudi bdae hbu nkatapike kwanza............
 
Nape ni limbukeni wa maisha,hajui alitendalo,ubongo wake haufikiri,anatumiwa na mafisadi CCM,hana uzalendo na nchi yake,ukiona kijana kama huyu anashiriki kalama hii ujue ana laana ya wazazi wake.
 
kila nikiona hata picha za haya magwanda nachefuka
 
mbona Museven alitoa kabisa kibao chake cha ""DO u need another RAP"".....ni mambo ya hobby tu....
 
Kila kiongozi ana staili yake ya kuvutia hadhara waweze kumsikiliza pale anapokuwa anaongea nao
Kikwete yeye huwa anakenua meno kuonyesha ulimbwende wake katika categoty ya ku-smile. Pia huwa anajifanya ni mkali wa wale viongozi wazembe au fisadiz (in background, anarudi kuwakenulia meno

2. Makamba Sr. yeye alikuwa anawavutia watu kwa kutumia vifungu ya biblia na koran kwa wakati mmoja, na wakati mwingine aidha alitoa jokes au yeye mwenyewe kuwa jokes.

3. Sasa kaja kijana Nape Nnauye. Ameamua kubeba jukumu la kutetea familia ya fisadi aidha kwa makusudi au kwa kutotambua kuwa Mwenyekiti wake (Taifa) pamoja na familia yake ni fisadiz. Na yeye kaja na staili yake kuwavutia hadhara lakini sina hakika kama inasaidia au la.
Wadau nyie mnafikiria nini kuhusu legacy yake kama inavyoonekana katika hizi picha hapa chini?

Kakakakakakakak, ndo siasa hiyo. hapo ujue anatarget urais wa 2015. si mchezo. suala kubwa ni kuwa je anahuzika ?
 
Back
Top Bottom