mshindi tutampigia makofi matatu mkuu si inatosha hiyo zawadi
Mnyika bado mtoto mchanga. Kila akiongea pumba kila akichangia bungeni utatamani uingie uvunguni. Mlisikia kituko chake jana? Huyu ni kiongozi aliyekula kiapo anaongoza kwa kushabikia utoto wa kisiasa. Yule mlemav wa arusha goodbye lema alimtafuta chokoraa arusha na kumvalisha nguo za alishababu na kujidai eti ni mpiganaji wa jwtz lakini hata kikosi chake akifahamu. Halafu mnyika akadakia na kuunga mkono huo utoto na kuhusisha na mambo ya meremeta???? Yeye huyu aliwahi kumkashifu m

kama hauna evidence usiongee,huyo ni mwanajeshi sisi tunamjua,kama kawaida yenu mnapenda kubadili nyeupe kuwa nyeusi ili mpate mandate lakini hapo umekwama Mnyika ni jembe,uso wako unakataa lkn moyo wako unamkubali kwa kuwa ndani ya ccm hamna kijana mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja kama mnyika ,
Mnyika bado mtoto mchanga. Kila akiongea pumba kila akichangia bungeni utatamani uingie uvunguni. Mlisikia kituko chake jana? Huyu ni kiongozi aliyekula kiapo anaongoza kwa kushabikia utoto wa kisiasa. Yule mlemav wa arusha goodbye lema alimtafuta chokoraa arusha na kumvalisha nguo za alishababu na kujidai eti ni mpiganaji wa jwtz lakini hata kikosi chake akifahamu. Halafu mnyika akadakia na kuunga mkono huo utoto na kuhusisha na mambo ya meremeta???? Yeye huyu aliwahi kumkashifu mheshimiwa rais na kumuita dhaifu wakati huyu mnyiku tangu achaguliwe ubungo hajawahi kufanya lolote zaidi ya kufungua matawi kwenye vijiwe vya wahuni. Sasa 2015 atapimana ubavu na jembe nape mnauye.
na kwaukweli ningempa kura nape kuliko shibuda,mipambano mingine ni yakuaibishana. nape ilibidi apambanishwe na shibuda. mia
mipambano mingine ni yakuaibishana. nape ilibidi apambanishwe na shibuda. mia