Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
Unalinganisha pumba (Nape) na mchele (Mnyika), kisa vyote vinatokana na mpunga, au kwa muktadha huu kwa sababu wote ni wanasiasa. Nasubiri matokeo ya poll!
 
Katika mpambano aliounzisha Ndulungu kati ya Mbunge wa Ubungo-CHADEMA, JJ Mnyika na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye,anapata aibu.Anapitwa sana kwa kura na JJ Mnyika. Nakumbuka Nape alitaka kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo na Mnyika. Lakini,alizidiwa nguvu na Hawa Nghumbi ndani ya CCM-kwenye kura za maoni. Angemuweza Mnyika kweli? Nape anaaibika sana kwenye mpambano huu hapa JF
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tafadhari sana kula yangu ukimpa mnyika kesho sitohdhuria LECTURE nitaandaa bango niandamane kuelekea BUNGENI hata kama hakuna bunge niwaachie walinzi hoja binafsi ya kutetea kura yangu...apewe mnyika mbunge wangu nikiwa likizo naishi kwa jimbo lake...........
 
pambano.jpg

Ni kama kuwapambanisha hawa jamaa wawili!
Jamani tuacheni mzaha!
 

  • Nape Nnauye - Kura 7 Asilimia 5.15%



  • John Mnyika - Kura 129 Asilimia 94.85%
 
Back
Top Bottom