Nape Nnauye na John Mnyika yupi mwanasisa bora kwa 2012?

Nani kati ya wawili hawa anastahili kuwa mwanasiasa bora 2012?

  • Nape Nnauye

    Votes: 9 3.5%
  • John Mnyika

    Votes: 251 96.5%

  • Total voters
    260
  • Poll closed .
Upande mmoja kuna hoja nzito kwa maslahi ya kitaifa -- Upande mwingine ni Porojo mtupu.
 
 
Mnyika ni moja ya viongozi vijana wanaopenda kuongea facts hvyo yeye ni jembe sana coz anatumia taaluma yake ya sheria vzr kwenye siasa lkn nape ni propaganda zisizo na maana.
 
 

Angalia kura hapo juu nape anavyopigwa mtungo!
 
mipambano mingine ni yakuaibishana. nape ilibidi apambanishwe na shibuda. mia
 
Ndg yangu hivi NAPE nae ni mwanasiasa! Lakini mshishae kwa CCM ni sawa manake hicho si chama tena ni pesa yako tu inakuingiza CCM na si uwezo wa ubongo wako kama ilivyokuwaga zamani
 
Ndg yangu MMWAISOBA hivi kweli ww ni mzalendo! Wa nchi hii kweli ?Ni NAPE aliwahi kuliongea na umma ukamkubali yaani kweli nitaendelea kuamini TANZANIA itaendelea kudumaa kwa akili za namna hii
 
nape ni vuvuzela tu. huwa linalia kila milio ili mradi ni kelele zisizo na mantiki
 
naona furaha inatimia baada ya kuona mtu anavyo buruzwa kama mzigo...... Mue mnaangalia mnapo shindanisha maana hapa hamjatenda haki kwa Mnyika wala Nape Jr.. Ki ukweli Nape mnge mshindanisha na kinana ivi inge kua safuuu kidogo, alafu Mnyika mngemshindanisha na alie mchagua au alie mteua Nape Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…