Kwani alipotea au alikufa? Kwani huyo aliyekufa hakuwa baba yake? Hilo jina la Nnauye kalipatapataje?Wa mbili havai moja. Mbabe unamjua. Wahi buku 7 zako. Nape amtafute baba yake mzazi kwanza.
Kaka,GT si mahali pa ushabiki Wala hapatakiwi kua pa ushabiki,kwenye ukweli tuseme na tusipotoshe watu kwa ushabiki wa vyama,Tanzania kwanza vyama baadae. Jamaa wamefunika na Nape hajazomewa toka ametinga mjini.Mleta uzi wewe ni muongo, mimo nilikuwepo kwenye huo mkutano wa kata ya themi arusha, maccm yaliambulia kuzomewa na huyo nape wao acha uongo.
Nape ni Gwiji la siasa,ila Binafsi nafarijika sana kuona vipaji vya vijana wanaojielewa kama Mnec, G.Mwalusamba wakimwaga sera badala ya Hila,maana CCM nao,kuna kakundi hua hakakawii!
kubwa zaidi jengeni chama na si watu..tunasubiri jumapili kujua mbivu na mbichi.
Kaka,GT si mahali pa ushabiki Wala hapatakiwi kua pa ushabiki,kwenye ukweli tuseme na tusipotoshe watu kwa ushabiki wa vyama,Tanzania kwanza vyama baadae. Jamaa wamefunika na Nape hajazomewa toka ametinga mjini.
mkuu msafara wa Nape Nnauye umebahatika kutokuzomewa tu maeneo ambayo walikua wanapita kwa kasi kama wanafukuzwa tena vioo juu na escort tinted.
Box la kura litafikisha ujumbe kwa serikali hii katili ya ccm kuwa msafara mrefu wa magari ya serikali hauna influence yoyote ya kuinusuru CCM hapa Arusha.
Wao wana dola, sisi tuna Mungu.
Kaka,tusishuhudie watu uongo ndugu yangu maana wanafatilia siasa hizi za uchaguzi mdogo,Mwalusamba hajamtukana Lema wala wagombea wao,ndio maana hata Subira wa Themi,aliegombea kura za maoni na Mgombea wa Chadema Themi,majuzi kwenye manado ilirushwa akiwa kwenye jukwaa la CCM akisalimiana kwa furaha na Mnec.Godi Mwalusamba,inadhihirisha ni namna gani kwanza hawa jamaa wameiva kisiasa japo walitaka kupotosha kua Subira/Isiaka amehama,na mwenyewe Jana Radio 5 amesema hawezi hamia CCM bali alipita kumsalimu kaka na rafiki yake Mwalusamba! Kaka hapa inathibitisha kua ni namna gani hawa jamaa wanaheshimiana kwa dhati..kama haya matusi Mwalusamba anayomtukana Lema kwenye majukwaa ndo sera za CCM honestly nawashauri wanachama wa ccm msilaumiane mtakapopata kipigo cha mbwa mwizi tarehe 16/june/2013.
Wait and see maajabu ya M4C.
Hakika wanaotumia "KAMASI" kuifikiria mko wengi!yaani nyumbu wa Mzee lowaza a.k.a kipofu a.k.a RAHISI wa Ng'ombe,a.k.a,Mroho wa madaraka na Aliefika ukingoni..mnajulikana kwa kutumia mat..ko kuifikiria.Huyu mwalusamba hana lolote mjinga fulani hivii alimuua mkewe wake,taira wakawaida kama nape na mwigulu kibaraka wa riziwani.huyu malaya wa kagasheki hiyo saccos yake amkopeshe fadhili matambi waliomwiibia tanzanite zake yeye na huyu mwalusamba.
Nasikitika kuona jitu zma linakua ongo kama shetani mleta uzi kadanganya mimi nilikuepo eneo husika nape alizomewa sawasawa akiwa na msafara wake,achen kudanganya uma hiloooo hovyo.[/QUOT
Wewe utakua mama uliemzaa shetani,kama si wa ukoo huo,hapa ni kwa Great Thinkers wewe Poorest Thinker sijui umekurupukia wapi na mijanaba yako,nenda kaoge kwanza ndio urudi pimbi weee
Mnec Goddy Mwalusamba,ni kweli ni kijana makini,maana kwanza anawapongeza Wananchi wa Arusha kwa maamuzi ya 2010,kwa maana ilikua haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kufanya maamuzi ya kuwapigia kura chadema hususan kwa ahadi zilizokua zimetolewa kwa maana zilionyesha ukombozi wa Kada zote za Arusha,sasa anahoji vipi hao madiwani walifanikiwa kutekeleza! Na Kama hawakutekeleza hata moja hoja zao ni zipi Leo hii?Na kuwataka Wananchi wapime katika utawala wa CCM yalifanyika yapi na utawala wa CDM yapi pia!kisha watajua wapi pa kupeleka kura zao..
hii ndio "Strong Politics"tunatakiwa kujenga hoja zenye tija na si vituko,watu wanapojitokeza wakataka majawabu ya kero zao na sio mbwembwe..
Mungu ibaraki Arusha,Mungu ibaraki Tanzania.
Wewe utakua ni mama yake shetani Kama si wa ukoo wake,hapa kwa Great Thinkers na si Kwa Poorest Thinkers Kama wewe,sijui umekurupukia wapi asubuhi hii na mijanaba yako,nenda kaoge kwanza ndio urudi rais wa makubwa jinga duniani wewe..Nasikitika kuona jitu zma linakua ongo kama shetani mleta uzi kadanganya mimi nilikuepo eneo husika nape alizomewa sawasawa akiwa na msafara wake,achen kudanganya uma hiloooo hovyo.