Zikiwa zimesalia dakika za majeruhi kipenga kupulizwa,ili kujua nani mbabe wa siasa za Arusha kwa awamu hii,Katibu Itikadi na Uenezi atoboa Siri ya Dr Slaa kuwapo nje ya Nnchi na agenda Yao mpya ya Siri,Nape aliekua akishangiliwa na umati mkubwa wa wana-Themi,alikaribishwa na Mnec Wa Arusha mjini,Ndugu Godfrey Mwalusamba ambaye anaendelea kujizolea sifa za siasa za Arusha kwa kutumia muda wake mwingi kuzungumzia kero na njia za utatuzi wa kero hizo,Mbunge viti maalum Catherine Magige pia,aliwahikikishia wapiga kura hao ju ya kuweka mikakati ya kuwasaidia wajane kupitia foundation yake endapo watamchagua mgombea wa chama chake,Wakili Victor.