Nape Nnauye maji ya shingo Mtama

Bora ashindwe kabisa maana amefanya siasa ya Tanzania kuwa sehemu ya kuropokea pacpo kufikiria
 
jamaa anaumwaa thus why haonekani wala kuropoka tena
 
Nape kamsalimie bibi kwani zis taimu araundi yu havu no confidasheni ini politiko mata baba
 
Nape Nnauye mwasisi wa goli la mkono mwaka huu anategemea goli la mkono limbebe jimboni kwake. Madai yake ni kua hawezi kuasisi kitu halafu kikamshinda yeye mwenyewe. Anadhani kwa kofia ya chama anayoibeba basi vyombo vinavyosimamia uchaguzi vitambeba
 
Last edited by a moderator:
Uzuri ana kazi yake tayari Lumumba ya kuendeleza uvuvuzela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…