Nape Nnauye kuongea na wanahabari

Status
Not open for further replies.
Uje utuelezeje bayana, inawezekana John Beer dish limeyumba, sie tukamuona timamu.
 
Nape usishindane na mwenye nchi bora ukae kimya
Acha upumbavu wewe hii nchi ya watanzania wote hakuna mwenye haki miliki na ndio maana hata madaraka unapewa na wananchi na kwa muda wa miaka mitano tu. Tatizo lenu kina DAB mnafikiri rais ndio kila kitu katika nchi, rais anafanya majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi full stop.
 
Nilikuwa sikukubari, ila toka umeanza kusimamia ukweli nakukubari sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…