Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,813
- 11,991
Hee hee. Mnaanza kuhamisha magoli sasa. Hata aibu hamna. Mimi nilishawambia huu mtindo wa upinzani wa kushabikia mtu yeyote anayempinga rais Magufuli utazidi kuwaporomosha. Hawakujifunza kwa kina Lowassa, Wema na wengineo wengi? Chadema wataishia kutumika kama choo tu. Subirini na Nyalandu ni muda tu atawatoroka.Magu anamuhitaji Nape kwasababu anahitaji kura za watu wa kusini.
https://www.jamiiforums.com/threads...opitia-mpaka-alipofikia-na-anakoenda.1608854/Ndo siasa hizi
unafiki mwanzo mwisho
Baada ya uchaguzi mwakani tutajua rangi halisi za wanasiasa
Waliyemwita mshamba sasa anawabatiza kwa moto, bado makamba na kinana, tunataka wote wabatizwe kwa moto ili tukusifu wewe tu hakuna mwingine