Nape Nnauye chunga kauli zako!

Nape Nnauye chunga kauli zako!

Wasi wasi wangu n kwa ubongo wa huyu nepi nahuyu. Kama kwel inafanya kaz. Ila anyway CCM wamemwamin na kumpa cheo kikubwa m2 empy kama nape. Ama kwel CCM Imefirisika na kwa bahat mbaya effects za mpuuz huyu n kwa taifa zma.
 
Jamani nape namsoma tu kwenye jf ila ni.mjinga hana mfano
 
Nape anakauli mbaya, eti Dr.slaa alienda marekani kutalii
 

Attachments

  • 1430499896882.jpg
    1430499896882.jpg
    25.4 KB · Views: 203
Lazima apayuke ili kushikilia nafasi yake, kwake hii ndio kampeni mana huyu jamaa hajawai kushika nafasi ya kugombea, hauziki, anabebwa tu
 
sasa kama wote ni ukawa kwa nini wafanye mkutano bila wengine kuwepo? huoni kasoro hapo imbayo iko wazi? mnamwonea nape bure. subirini muone ukawa itakavyosambaratika na ndoto za mchana za kuishinda ccm kutoweka. tatizo lenu mnataka muambiwe habari za kuwafurahisha tu hata kama si za kweli.
 
Nape anakauli mbaya, eti Dr.slaa alienda marekani kutalii

Sijawahi sikia kiongozi wa tz aliyekwenda USA akapigiwa mizinga 23 kama tufanyavyo bongo. hizo ziara hata kwenye media zao huwa hazionyeshwi. wakati mwingine hata Obama hawapokei.
 
kiukweli mambo ya tume waachiwe vyama vijipange akitokea mtu hajaandikishwa ndipo tulaumu. nape anapohubiri udini na ukabila ananikumbusha mashabiki wa kile kikundi kingine wanakesha na udini na ukabila
 
Viongozi wengi wa CCM wanaiangalia jamii kwa hadhira ya udini, ukabila na ukanda, kwa hiyo kila chombo, kikundi, chama au hata ajira huwa wanaangalia kwa mtazamo huo. Mfano mzuri hata makundi yao ya urais yamejengwa kwa hadhira hiyo hiyo kama sio kundi la dini yetu basi litakuwa kundi la ukanda wetu. Sote tuliwasikia Uvccm wakisema rais ajaye hawezi toka Kaskazini.

Kwa stage waliyofikia viongozi wa CCM ukitembelewa na mtu wa kabila fulani lazima itajengwa hoja ya ukabila, Nape alipoona viongozi wa UKAWA Mbowe, Slaa na Mbatia wamekutana basi kwa vile mtazamo wake umejengwa kwa hadhira ya ukabila moja kwa moja ubongo wake uka conclude huo ni ubaguzi wa kikanda au kikabila bila kuangalia kilichopelekea kukutana bila wenzao.

Bila kujali kama anafanya haya kwa makusudi au kutojua huu ni upuuzi mkubwa anapanda mbegu mbaya sana na naweza kabisa kusema Nape ni mpuuzi kama wapuuzi wengine na anastahili kupuuzwa.
 
Back
Top Bottom