Nape Nnauye chunga kauli zako!

Nape Nnauye chunga kauli zako!

mcfm40

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,452
Reaction score
3,152
Ndugu zangu,
kama mlikuwa hamuamini mikakati michafu ya CCM ya kuendela kutawala kwa kutumia propaganda za ubaguzi w kikanda na kikabila basi leo muamini.

Bila shaka mumeliona tamko la Nape "akimkaripia" Dr Slaa ti kwamba ni mkabila na mkanda kisa kuihoji tume ya uchaguzi kisa cha kuanza uandikishaji kwenye mikoa ambayo ni stronghold ya CCM.

Katika kuitetea tume, Nap amedai kwmba stronghold ya CCM ni Tanzania nzima (which is not true of course). Lakini hebu tukubaline nalo kwa shingo upande.

Lakini cha ajabu ni pale Nape alipoenda mbali na kuanza kuhubiri ukabila na ukanda ambao alikuwa anaupinga yeye mwenyewe kwa tafsiri aliyoamua yeye kuipa ile tahadhari aliyoitoa Dr. Slaa.

Kwanza anaamua kwenda nje ya hoja ya msingi na kuzusha madai kwamba Slaa, Mbowe na Mbatia wa Kaskazini walifanya mkutano nakutowahusisha Prof Lipumba na Makaidi ambao sio wa Kaskazini. Hivi lengo la propaganda hii ni nini? Nini zaidi ya kuonesha hofu kuu ya CCM waliyonayo juu ya ushirkiano wa UKAWA hivyo kutafuta kila njia kuwachonganisha? Kiasi kwamba imebidi sasa kutumia mbinu yoyote hata hoja za kitoto km hii bila kujali matokeo yake in the long run.

Kwa nini tusitumie tu mbinu ambazo hazina potential ya kutugawa? Tulitegemea CCM muishi maneno yenu kwakuhubiri umoja badala ya kujaribu kuchonganisha watu kikanda nakikabila.

Naamini UKAWA mnaitambua hii mbinu na sitegemei kwamba mtafanya yale CCM inatamani yatokee kwenu. Mna kazi y kuwaonesha hawa CCM kwamba you mean business!

Kwaa ndugu zangu CCM nawashauri achaneni na mbinu za kijnga nakitoto za kujaribu kuwachonganisha UKAWA kwa sababu hamtafankiwa. Tafuteni mgombea wenu wa urais. Siku zimekwisha!
 
Hatupaswi kuleta uchonganishi wa kikabila just for political gain! This is suicidal. Sijui km hyu dogo anajua!
 
muoneeni huruma huyu anasubiri kufa kama mende anavyokufa hutapatapa na mwisho ndo anakufa.domo lake ni sawa na kinyesi cha mtu anaekufa
 
Hapaswi kuonewa huruma huyu. Anapaswa kujua amani ya nchi inapotea kwa kuropoka km hivyo!
 
siasa za ukanda siku hizi hakuna, hana hoja huyo, white hair kashamuweka pabaya.
 
muoneeni huruma huyu anasubiri kufa kama mende anavyokufa hutapatapa na mwisho ndo anakufa.domo lake ni sawa na kinyesi cha mtu anaekufa

  • Tanzania tusipokaa vizuri, huyu Dogo Nape ataweza kutuletea mtafuruku mkubwa sana katika utaifa wetu. Yeye na vijana wenzake kina Ridhiwani wamekuwa wakitafisiri kila kauli, tukio na mhemuko kwa macho ya ubaguzi. Hata kama Dr Slaa alikutana na Mbowe pamoja na Mbatia, sio lazima walifanya hivyo kwa kuwa ni watu wa Kaskazini. Hakuna mbaguzi kuliko yule anayeona mwenzie kwa sura yake, dini yake, ukanda wake, jinsia yake! Hivi ndivyo amekuwa Nape, tofauti kabisa na itikadi ya CCM, chama kilichoasisi umoja na kuelea umoja wa kitaifa.

    Ni mara ngapi tumejikuta watu wenye imani moja tunafanya kazi kwenye kamati moja lakini utendaji wetu hauhusiani na imani zetu, na wale uteuzi wetu hauna mkono wa imani zetu? Mara ngapi tumekuwa wapangaji kwenye nyumba wote tukiwa na asilia moja lakini ndio tumekutana mara ya kwanza na tumeendelea kuishi bila kurejea asili yetu bali kuishi kwa mnajili wa maisha tuliyo nayo? Na hata kama tumejikuta tunaishi, au kufanya kazi tukiwa mchanganyiko wa imani, itikadi, sura, jinsia au hata na aina mbalimbali ya ulemavu, je hatukuendelea na kazi bila kujali unasibu wetu? Hatuishi kama waislamu na wakristo ndani ya nyumba moja na tunavumilia na wala hatugundii kuwa kuna tofauti hizo baina yetu hadi siku tunapoachana kwenda kwenye nyumba za ibada tofauti?

    Nape, Nape, Nape, kwa nini unakuwa mbaguzi kiasi hicho? Kwa nini unataka kutumia lugha laini yenye ukakasi wa kututenganisha? Unaweza kweli kushuhudia hizo dhamira ulizowawekea Mbatia, Mbowe na Slaa eti wamewatenga wenzao Lipumba na Makaidi. Please wewe ni zaidi ya hapo. Hukui tu! Sitaki nikutukane mjinga, ila tafadhali usije ukawa sababu ya machafuko nchini. Vijana na watoto wanakusoma!​

Nape Siku za mamvi kuchukua nchi zinahesabika in Siku 180

Mamvi akipitishwa jamaa itabidi atafute K-Y tu labda itamsaidia kumuondolea maumivu kwa jinsi watu walivyompania popote atakakokuwa.
 
Nape siyo mzigo wa ccm au serkali ya ccm, bali ni mzigo wa taifa zima.
 
Hiyo ndio Ccm ya leo tofauti na ile ya Mwalimu.Huenda hiyo kauli yake ina baraka za wakubwa zake ndani ya chama chake kwa sababu hata mwenyekiti wao ni mbaguzi
 
Inasikitisha sana Ccm wanakotaka kutupeleka. Nape ndiye msemaji wa chama kwa hiyo hiyo ni kauli rasmi ya chama!
 
Kwamba sasa mkakati wa ccm ni kujaribu kujijenga kwa mbinu ya ubaguzi wa kikabila. Hivi ndugu zetu hamuwezi tu kuwaeleza watz mafanikio yenu yakatosha luwafanya wawaunge mkono badala ya hii mbinu ya kuhubiri ukabila? Hamuini mmefanya ya kutosha kuungwa mkono tena mpaka mnaamua kutumia mbinu hatari ya ubaguzi?
 
Npe ni vuvuzela, yeye hawezi kuongea neno la uhai wa taifa, dr. slaa anamsumbua sana akili hawezi acha kumtaja kwenye domo lake, yey ndio mdini namba moja na ataumbuka siku si nyingi aende akarithi kiti cha komba kule TOT.
 
Siku zote wachagga na watu wa kaskazini wakibaguliwa hupiga kelele sana. Lakini wao ndio watu wa kwanza kubagua. Mwizi akiiba huona ni halali lakini mwizi akiibiwa huona kaonewa.
 
Toa mfano wa ubaguzi uliofanywa na wachaga na sio kuongea tu kama Nape. Wachaga wanajituma sana na mafanikio yao yanatoa ajira nyingi kwa watanzania bila ubaguzi. Wewe na mafisadi wenzako mnaiba mnapeleka kuficha uswis. Jitambue!
 
Attachments

  • 1430478637361.jpg
    1430478637361.jpg
    51.6 KB · Views: 225
Ndugu zangu,
kama mlikuwa hamuamini mikakati michafu ya CCM ya kuendela kutawala kwa kutumia propaganda za ubaguzi w kikanda na kikabila basi leo muamini.

Bila shaka mumeliona tamko la Nape "akimkaripia" Dr Slaa ti kwamba ni mkabila na mkanda kisa kuihoji tume ya uchaguzi kisa cha kuanza uandikishaji kwenye mikoa ambayo ni stronghold ya CCM.

Katika kuitetea tume, Nap amedai kwmba stronghold ya CCM ni Tanzania nzima (which is not true of course). Lakini hebu tukubaline nalo kwa shingo upande.

Lakini cha ajabu ni pale Nape alipoenda mbali na kuanza kuhubiri ukabila na ukanda ambao alikuwa anaupinga yeye mwenyewe kwa tafsiri aliyoamua yeye kuipa ile tahadhari aliyoitoa Dr. Slaa.

Kwanza anaamua kwenda nje ya hoja ya msingi na kuzusha madai kwamba Slaa, Mbowe na Mbatia wa Kaskazini walifanya mkutano nakutowahusisha Prof Lipumba na Makaidi ambao sio wa Kaskazini. Hivi lengo la propaganda hii ni nini? Nini zaidi ya kuonesha hofu kuu ya CCM waliyonayo juu ya ushirkiano wa UKAWA hivyo kutafuta kila njia kuwachonganisha? Kiasi kwamba imebidi sasa kutumia mbinu yoyote hata hoja za kitoto km hii bila kujali matokeo yake in the long run.

Kwa nini tusitumie tu mbinu ambazo hazina potential ya kutugawa? Tulitegemea CCM muishi maneno yenu kwakuhubiri umoja badala ya kujaribu kuchonganisha watu kikanda nakikabila.

Naamini UKAWA mnaitambua hii mbinu na sitegemei kwamba mtafanya yale CCM inatamani yatokee kwenu. Mna kazi y kuwaonesha hawa CCM kwamba you mean business!

Kwaa ndugu zangu CCM nawashauri achaneni na mbinu za kijnga nakitoto za kujaribu kuwachonganisha UKAWA kwa sababu hamtafankiwa. Tafuteni mgombea wenu wa urais. Siku zimekwisha!

mwalimu nyerere aliyasema kuwa wanasisa waliofilisika au wanaoelekea kufilisika hujificha ndani ya kwapa la udini na ukabila.
 
Huwa wananniudhi sana wanaposimama kwenye majukwaa wakihubiri umoja na mshikamano huku nyuma wao ndio wanaobomoa huo mshikamano!
 
Back
Top Bottom