Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,075
Tanganyika + Zanzibar + Ujirani mwema. Hatutaki Tanzania bara + Zanzibar + Majungu...
Tanganyika + Zanzibar + Ujirani mwema. Period! We meet in EAC Federation as good neighbors. Haki wanazopewa Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, South Sudan na pengine Somalia baadaye wanapokuwapo TZ ziwe ndo hizohizo Zanzibar inapewa hapa. NO SPECIAL TREATMENT.
And then off course, kwa bahati mbaya, pengine watalazimika kuomba kuingia EAC kama taifa huru, kama South Sudan. Wameyataka sana haya kwa muda mrefu wapumue. Wakati wa Zanzibar kupumua ni sasa...