acheni magamba kwa wanamagamba wenyewe!Nape , kuna FISADI jingine limeogezeka , MSEKWAa ,
huyu atavua gamba lini ?
Napenda kuchukua nafasi hii kukushauri ewe katibu uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, najua upo katika harakati za kutekeleza azma ya mapinduzi katika chama kama kinavyo julikana.
Ushindi kiduchu wa asilimia 61 wa uprezidaa mlioupata umeporomoka toka ule wa mwaka 2005 wa asilimia 100,sasa hapo inaonyesha kuna madudu mengi CC imeyafanya na wa Tz wamegutuka na kusepa, kama mmeweza kupoteza asilimia zaidi ya ishirini, kwa hesabu za kawaida tu, mwaka 2015 mkipoteza tena zingine 20, mtapata asilimia 40 au chini ya hapo na ndo itakuwa mwisho wa CCM, sasa bro najua unatumia nguvu kubwa sana kusafisha chama na kuwakomalia vinara wa ufisadi waachie ngazi.
Baba huo moto huuwezi, hiyo vita itakupeleka pabaya,watakumaliza. Uko mmoja wako zaidi ya Mia moja, kama vipi sepa Chama no usalama wako, other wise watakupoteza... Ushauri wa bure,ni mimi mwana CCJ, mi nimesha sepa.
ngorongoro si yetu sote , duniani nzima , 'world heritage' , yaani huyu atapata laana hadi za wachinaacheni magamba kwa wanamagamba wenyewe!

Sasa huyu Msekwa ni nani atakayemuita kwenye vikao vya kumuonya? Maana yeye ndo alikuwa akiwaonya mapacha watatu. Kweli CCM hakuna msafi. Kila mtu ni fisadi kulingana na nafasi yake.Nape , kuna FISADI jingine limeogezeka , MSEKWAa ,
huyu atavua gamba lini ?

Nape anasikitisha maana anapambana vita ya peke yake hayuko na mkama, msekwa wala M kwer e sasa atashinda vipi hiyo bora fuata ushauri sepa uende CCJ. 6 atakufuta tu.

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"

Usisahau .....THE STRONGEST MAN INTHE WORLD IS THE ONE WHO STANDS ALONE"
je kauli hii inamaana katika CC ya CCM umebaki mwenyewe kwenye msimamo wa kumshinikiza Lowassa? je mukama na kikwete wamekutelekeza?
Mnauye jr. kwanini wamekukataza kwenda igunga wakati wewe ni katibu mwenezi huoni kuwa wewe ndio ingekuwa mtu wa kupanga na kukiokoa chama wakati kama huu. je unadhani nini kazi ya katibu mwenezi kama ukizuiliwa kwenda sehemu fulani kama igunga?
CC kumkataza Nape na Chilagati kwenda kwenye kampeni za uchaguzi mdogo Igunga inamaanisha CCM haijivunii operesheni vua gamba. Nape na Chilagati walipaswa kwenda Igunga na Kuwataarifu wana-Igunga ni nini sababu ya kumvua Rostam gamba lake leupe yaani kama CDM walivyokwenda kuwaambia wana-Arusha nin sababu za kuwapiga chini madiwani kadhaa wa arusha wakiongozwa na yule rasta simba mlanyama.Yaani CCM haitaki kudhihirisha kuwa Rostam ni fisadi ili wanachi wanaompenda Rostam wampigie kura mgombea mpya wa CCM.