Nape Nnauye awaonya wanafiki

Nape Nnauye awaonya wanafiki

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,488
Reaction score
100,883
Asante Sana Nape, japo dhambi ya kuzima Bunge Live....amewaonya CCM waache unafiki, wanachafua maji Wakati wote ni Wachafu....
Screenshot_2018-12-01-17-45-47.jpeg
 
Duuuh kweli membe ana nguvu aisee hapa naona nape kaamuwa kumtetea ndugu yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
 
Huyo jamaa analaana za kuzima bunge live kwa watanzania tena ni mnafiki kiwango cha lami acha aisome namba
 
Huo msemo nahisi atakua kau DEDICATE kwa;
1) JIWE.
2) Dr. Bashiru.

cc: Bernad Membe

CCM safari hii mbona watatoa HORROR movie, badala ya LOVE STORY zao.[emoji18] [emoji53]
 
Back
Top Bottom