Wana wa jamii kuna taarifa ya kwamba jana Nape aliingia Bungeni kama hero, kwani alishangiliwa na wabunge wote hata kumlazimu mwenyekiti kuwataka hayo mahaba wayafanye bila kelele, mwenye video aturushie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.