Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 720 Reaction score 2,660 Jan 19, 2025 #1 Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena. Hongera Dk.
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena. Hongera Dk.
Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 2,028 Reaction score 2,662 Jan 19, 2025 #2 Nape siasa sasa imeshamshindaaa aka lime ufuta huko mtama
K Kwakivesa JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 326 Reaction score 462 Feb 1, 2025 #3 Hakuna uadui wa kudumu katika siasa ujue😉😉
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,558 Feb 2, 2025 #4 Safi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,355 Reaction score 193,325 Feb 2, 2025 #5 Muda utaongea... Cc: Mahondaw