Nape na Shibuda

mbona nape kajilegeza hivyo au anasikia raha kuongea na lijamaa ka simbuda
 
Hata mimi sidhani kama wanaloliongelea ni la kuitakia mema jamii au kama wanamuongelea mtu ndiyo kabisaa wanamtakia mabaya na kama wanaongea ya kwao wenyewe lazima itahusu jinsi gani Shibuda ajiimalishe kisiasa
 
Wewe liache 2015 halisogei hata hatua moja hilo dudu linajifanya CDM kumbe CCM damu damu
 
Body language hapo ipo very clear. Inaonekana Nape anam-coach shushushu wa ccm aliyetumwa kwenda kukamilisha utekelezaji wa kazi aliyotumwa ndani ya cdm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…