Nape na Lusinde Wailipua Mwanza bila ya Tinga Tinga

Nape na Lusinde Wailipua Mwanza bila ya Tinga Tinga

Na wakienda kwa yule mgonjwa wanategemea nini? Dizeli chafu si mali kitu.


Have displine... mgonjwa mama. yako...

If you can read, the peoples' faces and mind, hao watu WASHAKATA TAMAA

WAANGALIE PICHA ZOTE, tokea hapo za Mwanza, Jana Magufuli as well akiwa Tunduma, Watu wameenda kuwaangalia tu, HAWANA IMANI NA CCM kabisaa

So, if you can read their mind, HAO WATU mshaikosa kura zao.... THEY LOST HOPE, FAITH with CCM, kabisa..

Anayeishabikia CCM ni mfu tu kama wewe...

Ur walking dead...👌👌👌👌

Ur just loitering here JF, arrogantly, with many threads, to lie people online CCM inapendwa, UMEPOTEA, ur dead walking man...👌👌👌👌👌
 
As well, mapumbavu, kama nyie ndio wa kuishangilia CCM, all with POOR mind, are CCM supporters
 
Yani Mtanzania anapoipenda CCM nahisi kuna kitu anapungukiwa....Tembeleeni mahospitalini na hasa wodi za wazazi muone huruma....hivi kweli tuna macho lakini....kitu cha kwanza ktk maisha afya jamani acheni kukufuru hata kama mnahongwa kuipenda ccm lakini angalieni wananchi masikini....kule rushwa tu ili uhudumiwe....ama kweli tumerogwa....!!

Umerogwa wewe,sisi wanaccm pamoja na TingaTinga letu tupo fresh kama chuma cha pua.
 
Ni jambo jema...walichokiongea nn?? Watz hatujielewi kweli, tunajali idadi ya watu badala ya sera!!
 
Ukawa wajitoe tu make hii ni gharika ..Hapa kazi tu
 
Umerogwa wewe,sisi wanaccm pamoja na TingaTinga letu tupo fresh kama chuma cha pua.

Kama ni KE ngoja upate upate ujauzito na utakapopelekwa hospitali za Serikali utaikumbuka hii post...na km ME wakati hela inatoka ili mke awe salama pia utakumbuka hii post....then mi sijakataa usiwe CCM angalia hali halisi ilivyo fanya Ziara ktk hospitali za Serikali na angalia matanuzi ya viongozi wetu wa sasa...yani hata mtu ukiishiwa damu unadidi uhonge pia?...Dah hili zindiko la mwenge wa uhuru unamfanya aliyedhurika ajione mzima na wazima awaone wamerogwa....pole sana kwa ushabiki.
 
jamaa yan hicho kijiuwanja cha mbugani nako unasema mafuriko??.....nilipita jana pale ndugu
 
Umerogwa wewe,sisi wanaccm pamoja na TingaTinga letu tupo fresh kama chuma cha pua.

Utakuwa unafikiria kwa njia ya haja kubwa ikiwa UNAISHABIKIA CCM..

Pumbavuuuu👌👌👌👌👌
 
Kwa jinsi navyoijua mwanza hapo hawajaniambia kitu
 
Ukichunguza vizuri hizo picha utagundua haya.
1/Ni idadi ya kawaida sana ya watu waliopo hapo.
(Hii ina maana kuwa mkutano huo ni tukio la kawaida sana kisiasa, halina impact yoyote kwa wananchi)

2/Zaidi ya 90% wamevaa mavazi na nembo za CCM(Hii inamaanisha ni wanachama wa CCM wa siku zote na sio wananchi wa kawaida huru, wapo hapo kama wajibu wao kiCCM kuja kupamba mkutano, huwa wanapaswa wapewe posho kwa mujibu wa tamaduni za ndani ya CCM)

3/Wanaonekana wenye majonzi, kukata tamaa, hofu na Unyonge.(Hii ina maana kuwa wamekuja hapo kupeana Faraja na matumaini)
 
...crew ya wapiga picha wa ccm...naona hawazijui angles za shots...km wako humu wajirekebishe
 
mmh mbona hayo mafuriko hayaingii hata robo ya yale yanayoteaga kamanda Wenje akiitisha mkutano hapo Mwanza
 
Mr president

Punguza hasira UKAWA hatuko hivyo sisi tunafanya kmpeni za kistaarab na amani sasa nakushangaa wewe unaasira kila thread unapayuka kama MACCM kama hauna fact bora unyamaze tu....

Wanaanchi wanamaamuzi ya nani wanamtaka kutokana na utendaji wake na historia yake CCM acha wazunguke ila oct 25 ndio jibu

BADILIKA BROO USHAKUWA MTU MZMA SASA ACHA UTOTO
 
Yani Mtanzania anapoipenda CCM nahisi kuna kitu anapungukiwa....Tembeleeni mahospitalini na hasa wodi za wazazi muone huruma....hivi kweli tuna macho lakini....kitu cha kwanza ktk maisha afya jamani acheni kukufuru hata kama mnahongwa kuipenda ccm lakini angalieni wananchi masikini....kule rushwa tu ili uhudumiwe....ama kweli tumerogwa....!!
Kwani mtaji wa ukawa si ulikuwa mafuriko? Mbona hukuwaambia haya..acha kuangalia kwa makengeza
 
Mtaipandika magambaz lazima pensi ziwashuke mwaka huu. Tulikuwepo kusikiliza tu ila mioyo yetu haipo pamoja nanyi. Tunawasikiliza bure tu
 
mr president

punguza hasira ukawa hatuko hivyo sisi tunafanya kmpeni za kistaarab na amani sasa nakushangaa wewe unaasira kila thread unapayuka kama maccm kama hauna fact bora unyamaze tu....

Wanaanchi wanamaamuzi ya nani wanamtaka kutokana na utendaji wake na historia yake ccm acha wazunguke ila oct 25 ndio jibu

badilika broo ushakuwa mtu mzma sasa acha utoto
acha kumtisha kwa yeye kuusema ukweli ..
I swear wewe siyo kamanda bali gamba la.c.c.m....
 
Back
Top Bottom