Nape, Mwigulu, Bunge, Wako pamoja?

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,591
Nauliza tu, wameamua kuungana na watuhumiwa kwa nyuma kupambana na enforcers?

Kama waziri anakaa kimya wakati watu wake ndo enforcers tuelewe hii order inatoka kwake ama Ofisi kuu imeamua kuchukua majukumu baada ya kugundua (role) ya waziri katika hii saga?

Je, hawa watu wameunda alliance dhidi ya mamlaka ya uteuzi?
 
Back
Top Bottom