Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

Nataka nimwambie nape na wengine kama yeye kwamba wamechelewa tena sana...Dunia nzima majority wamekua wakishinda Je nape na mangula ambao wamekua wakishindwa kwenye chaquzi zao zote za kuchaguliwa wana nini vlcha kuzuia the mases?.
 
Nape haogopi hata wazee..!! Lowasa ni mzee, mheshimiwa, mchapakazi, tajiri, sio mchoyo, ni mfadhili wa ndani, mwenye kuthamini watu, mtoaji wa zaka, sadaka na michango makanisani, mwezeshaji wa vijana, n.k.

Mbona umetowa sifa za kaburi lililopambwa nje kwa shaba na zahabu huku ndani ni uozo.
 
Nape VS Lowasa! ni kama mbingu na ardhi vilivyo mali.......................
 
Wanaitumia CDM kama sehemu ya kujisahaulishia matatizo yao, lakini wanashindwa kujua mwisho wa siku watapambana nayo

Mkuu jambo ambalo silipatii jawabu katika sakata la Zitto ni hili la CCM kuingilia maamuzi ya CHADEMA.
 
Nataka nimwambie nape na wengine kama yeye kwamba wamechelewa tena sana...Dunia nzima majority wamekua wakishinda Je nape na mangula ambao wamekua wakishindwa kwenye chaquzi zao zote za kuchaguliwa wana nini vlcha kuzuia the mases?.

ccm ni chama cha majamba hivyo kwa wanagiki kama nape ambao wao ni vuguvugu lazima wapigwe chini..
 
Mkuu jambo ambalo silipatii jawabu katika sakata la Zitto ni hili la CCM kuingilia maamuzi ya CHADEMA.

Wanajua maamuzi sahihi katika huu mgogoro itakuwa kaburi kwao. Wanataka kuingilia ili CDM iendelee kuwa katika huu mgogoro...
 
Namuunga mkono Nape, Lowasas hafai na hawezi kuwa Rais wa nchi ambayo ina wananchi wengi tu wasiopenda rushwa, hawa waliomo humu wanaomtetea Lowassa hawana uchungu na nchi yetu, ni wachumia tumbo na wabinafsi wamewaweka rehami mpaka watoto wao kwa ulafi wao, tusiwaruhusu watukatishe tamaa, haijalishi uropokaji wa Nape cha muhimu amekua consistent katika hilo, kama mafisadi hawakutoswa wakulaumiwa sio Nape ni unafiki na undumila kuwili wa mwenekiti wa chama chao, wote tunajua hatua ya kuwavua magamba mafisadi ni muhimu kwa muhtabali wa taifa letu, Nape did his job sasa angefanyaje wakti mwenyekiti wake hana uwezo wa kufanya maamuzi magumu na anajipendekeza kwa mafisadi? Big up Nape historia ndio itakayokuponya wakati hawa unaopambana nao hawaponi
 

Nilivyoelewa: CCM kuingia na Lowassa kwenye uchaguzi Urais 2015 ni sawa na kuingia na kitimoto msikitini!!!!
 


kaka nape ahsante kwa ufafanuzi mzuri...endelea kusimamia ukwel ninaamini tutayashinda mafisadi.hakikisheni hakuna fisadi anapenya. ccm bila lowassa inawezekana!!
 
Nape punguza mdomo usijifanye mungu mtu,mimi naunga mkono lowasa kuwa mgombea kwasababu uweza anawo sababu anayo mwisho anamaamuzi magumu nchi itanyooka


acha njaa wewe lowassa anafaa kwa lipi sasa.amekuwa waziri mkuu kidogo 2 keshapiga madeal kibao ambayo yanayumbisha nchi sasa hivi.mbona ccm kuna watu makini wengi kwanini asimame lowasa mwenye uchafu wote huo?
 
tunashkuru lowassa kwa kujitengenezea mazngira mazuri ya kukatwa jina.jipange upya
 
NAPE tulia! CCM watakuchonganisha na LOWASA , NA JAMAA ANAYO MAGUVU. Yaani tishio la E.L ni CDM endapo kitamaliza migogoro ya ndani bhaas.
 
Acha kumpamba EL huyo ni FISADI NAMBA ONE.
Alijiuzuru kwa ajili ya ufiaadi wa RICHMOND

RICHARDWILIUM
Nape Sacha kumwandama Lowasa, haumwezi kwani anakubalika hataufanyeje. Lowassa ni mchapakazi na mwadilifu.
 
Nape ni Jasiri, Nape Songa mbele, Maneno haya uliyoyasema leo yataishi Daima, hatutaki watu wanaotumia nguvu kuutaka Uraisi
 
Mzee Mangula amepoteza Network. Ameshindwa kujibu MAPIGO ya CHADEMA anahangaika na LOWASSA. Aache press conference za Makundi. Kwani naye Ana KUNDI lake. Mzee vipi. Hisani ya JK unaitumia vibaya. RUDI Njombe ukalime viazi vya chips.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…