Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
kwamaneno ya NAPE naliona anguko la LOWASA live
Umekuwa mtabiri...?
kwamaneno ya NAPE naliona anguko la LOWASA live
Angejua hata wafanya biashara wa jezi za yanga wanakosa wateja sababu tu ya rangi zinafanana na za sisiemu, angepiga kimyaa.Huyu Nape hajielewi, anasema wabunge wa ccm walimfukuza waziri mkuu wa Tanzania, hii ni kweli? Anasema siku za nyuma kuvaa nguo za ccm ilikuwa aibu, lkn baada ya kuingia yeye watu kuvaa nguo za ccm ni ufahari, wadau hii ni kweli???
Bavicha hawana jinsi inabidi wafatilie siasa za CCM...
Bavicha hawana jinsi inabidi wafatilie siasa za CCM...
Tehtehteh....nmeipenda hyo
Kila kitu nyerere ndip hoja yao dhaifu nyerere huyuhuyu walidai alimkataa kikwete still akawa rais nyerere huyihuyu alimpinga mwinyi kipind yupo madarakan nyerere huyu huyu alimchagua mkapa akaja kuuza kila kilichokua chetu
tambueni maamuzi ya weng ni maamuzi ya mungu
mtaan masikin wanamsikia na kumuitaj lowasa