NAPE Live EATV Saa 4:00 Usiku Leo!

NAPE Live EATV Saa 4:00 Usiku Leo!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Leo ndani ya Siasa za Siasa tunaye Nape Nnauye

Katibu uenezi na itikadi CCM na Ayoub Rioba Mhadhiri chuo cha uandishi wa Habari na pia mwana habari.

Mjadala mkubwa ni kuhusu mchakato mzima wa uteuzi wa mgombea wa urais.

Inavyoonekana kuna mizengwe mingi katika kumpitisha mgombea urais kwa tiketi ya chama tawala (CCM) ambapo Bwana Nape anasema kuna mfumo uliopo na vigezo ambavyo lazima chama kifuate katika kutekeleza hilo, japo si kwa asilimia mia moja.

Na kuhusu hofu ya kuwa wengi wanaowania kugombea uteuzi huo si wasafi, Nape anakiri kuwa ni kweli, lakini ataangaliwa alie na afadhali.

Chanzo : Eatv

My take : Nape amekuwa mwenyekiti wa CCM? mbona anajichukulia maamuzi binafsi ?
 
Maoni yake Jamani mbona hampendi watu Kuwa huru? Hao ni CCM wako huru ndio maana wanajitokeza wagombea wengi....they believe they have chance that is good for democracy within the party...
 
Huyu jamaa amepewa nanani hiki cheo?? si kwamba amepata kazi kwa mgongo wa Mzee wake???
 
kwamaneno ya NAPE naliona anguko la LOWASA live
 
Huyu Nape hajielewi, anasema wabunge wa ccm walimfukuza waziri mkuu wa Tanzania, hii ni kweli? Anasema siku za nyuma kuvaa nguo za ccm ilikuwa aibu, lkn baada ya kuingia yeye watu kuvaa nguo za ccm ni ufahari, wadau hii ni kweli???
 
Bavicha hawana jinsi inabidi wafatilie siasa za CCM...
 
Huyu dada anaeendesha kipindi sijui ni nani, kambana Nape vilivyo....
 
Back
Top Bottom