Nape Kuzungumza Na Wanahabari Usiku Huu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Kuzungumza Na Wanahabari Usiku Huu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maggid, Apr 11, 2011.

 1. m

  maggid Verified User

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,084
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Ndugu Zangu

  Kikao cha NEC ya CCM kinaendelea usiku huu Dodoma. Sura za watakaounda Sekretariati zimeshajulikana hata kama hawajatangazwa rasmi.

  Na Nape Nnauye si ndiye Mwenezi mpya wa CCM. Nape hana tatizo la kujitokeza na kumulikwa na taa za kamera. Usiku huu, mara tu baada ya NEC Nape anatarajiwa ajitokeza kama Katibu Mwenezi wa Chama, aongee juu ya kilichoongewa.

  Ningekuwa pale' White House' ningemwuliza Nape maswali mawili; mosi, hongera sana kwa wadhifa wako mpya, ukiwa kama mwenezi wa chama tuambie ' Kujivua gamba' kwa CCM kuna maana gani ?

  Pili, Je, ni kweli kuwa Chenge, Rostam na Lowassa wamejadiliwa kama ' tatizo' ndani ya chama?

  Jibu la NDIO au HAPANA lingefuatiwa na swali la nyongeza....

  Maggid

  Singida
  MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo
   
 2. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  umesema nilichokuwa nawaza ila maswali ya nyongeza ninavyokujua tusijerudi kuleee,mashambulizi yakaanza!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  gamba halina relation yoyote na character so gamba linatoka lakini tabia na matendo ni yale yale
   
 4. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna watu hata wakivua roho, hawaaminiki
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  haihusu!!

  tumechoka!

  itafika mahali Nappe atakwenda msalani mtaweka post "Nape Kaenda Msalani"
   
Loading...