hajui wala nini. Nape acha kutisha watu. Ndo maana mukama alisema mtoto si riziki huyu hataki kuzingatia alichoambia. 'wewe si tulikuambia Usiende igunga " alipopuuza akakutana na baunsa mmojakada maarufu wa ccm ndugu nape nnauye ameeleza kubaini kundi la watu waliojipanga ambao wanafanya kila jitahada ili kuhakikisha kuwa chama hicho kinasambaratika.nape alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kwamba anawajua kwa majina watu hao wanaojitagidi kupandikiza fitina na kuwataka waache mara moja kufanya hivyo vinginevyo muda wowote atawataja kwa majina.
Source : Gazeti la nipashe ukurasa wa tatu
Utshangaa akiwataja,
Wa kwanza Dr Slaa,
wa pili John Mnyika,
list yote itajaa,
wapinzani.